Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HI.. Mara zote tumekuwa tukikwama kuanzisha biashara kutokana na mitaji kuwa midogo. kuna makampuni mengi amabayo yana tafuta soko la bidhaa zao. Sasa kwa mfano mtu ukaamua kuwa agent wa kampuni...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
anaejua bei za mashine za juice ya miwa jaman msaada za kutumia umeme na ambazo so za umeme
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi...... Bwanaaaa weeeee, Wasukuma wamebarikiwa sana kwa habari za mkono kinywani tatizo wabahili sanaaaaa, wana mamifugo ya kila aina ila kuchinja ni mwiko mpaka lianguke hapo...
7 Reactions
4 Replies
3K Views
Hallo wadau nahitaji msaada wa kusafirisha mawe nje ya nchi. Jee naweza tumia jina la biashara ambalo nimesajilia brela? Naleta kwenu kwa ufafanuzi
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wandugu nimetafakari sana kutokana na hali ya sasa ya Tanzania hususani kwenye vipengele vya kujikwamua kimaisha kama KUAJIRIWA, KUFANYA BIASHARA, UVUVI AU KILIMO. Kila kukicha nimekuwa...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hello guys natumai nyote mko poa, ni mdau mpya jamii forum. Kwa mda huu npo Dubai na nataka nije Tanzania kufanya biashara ya mazao. Naitaji mwongozo na idea mbali mbali naombeni ushaur wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasala-am, Sometime ili ufanikiwe kwenye maisha unahitaji kupita kwenye njia tofauti kidogo,where it doesnt matter whether the road is rough or curved,remember "The grass is always greener on the...
21 Reactions
53 Replies
6K Views
Kama unawaza biashara ya kufanya chukua hii.. Kuna idadi kubwa sana ya watu wanatafuta vitu vya kufanya kuwafurahisha nafsi zao..hasa baada ya mizunguko ya kila siku ya kupambana na maisha. Watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habali zenu wana jamvi Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari wana JF, Samahanini kaka &,Dada mlioko humu, ila nalikua naomba ufafanuzi Kwa Mwenye ufahamu juu ya swala hili. Mimi ni mfanyabiashara, na ninamshukuru Mungu ameniwezesha kupanda kiwango...
1 Reactions
29 Replies
17K Views
Habari za hapa. Leo nimeona jambo (kwa upande wangu naliona kama kero/ tatizo/ shida/ usumbufu). Nilikuwa na ujitaji wa Statement ya mpesa, nikaingia online kuona kama naweza ipata nikakosa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro, kwa mwenye kujua anijuze, je lazima uwe na soko tayari kule au unaeza peleka tu mzigo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo! Tumekuwa tukipeana na kushauriana juu ya mawazo mbalimbali ya kuanzisha shughuli za uwekezaji. Ni jambo zuri na jema kabisa kwa afya ya uchumi wetu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa...
12 Reactions
15 Replies
12K Views
Habari, naomba kujua taratibu na vigezo vya kujiunga na Uber kwa sasa vikoje, nina kagari kangu nataka nijiunge huko, msaada kwa anaejua alie na current information.....asanteni! ====== 1.Gari...
2 Reactions
51 Replies
19K Views
salaam wadau! ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali. Ninaishi moshi mjini na nategemea...
0 Reactions
50 Replies
20K Views
wakuu naomba kujua, kuna jamaa yangu ana kampuni sasa anataka akachukue leseni ya biashara manispaa ila ameambiwa inatakiwa apeleke uthibitisho wa vitambulisho mf: cha kura/taifa vya shareholders...
1 Reactions
2 Replies
919 Views
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa! Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu habari za majukumu. Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao. Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika...
21 Reactions
179 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…