Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro

george tiru

JF-Expert Member
Sep 24, 2018
200
147
Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro, kwa mwenye kujua anijuze, je lazima uwe na soko tayari kule au unaeza peleka tu mzigo?
 
Sio lazima uwe na soko,nenda na mzigo kama ni mzuri haukai ata wiki ,ila ni vyema ukaenda na kidogo iwe kucheck biashara inavyoenda na kupata mwenyeji
 
Nashukuru sana, ila nataka kupeleka asali sasa sijajua ni asali ya namna gani inayotakiwa, tatizo sina mwenyeji ila naeza enda kama ulivonishauri mdau.
 
Nashukuru sana, ila nataka kupeleka asali sasa sijajua ni asali ya namna gani inayotakiwa, tatizo sina mwenyeji ila naeza enda kama ulivonishauri mdau.
Kwenye asali sijajua ,ila kwenye mbuzi hakikisha unaenda na mbuzi wanono,mzigo unaweza kwisha ukiwa bandarini,kuhusu mwenyeji wa kule uwe makini wengine sio waaminifu,usimuachie mzigo,naweza kukuunga na mtu ukiitaji ni pm
 
Back
Top Bottom