Kupanda Bei kwa Bidhaa za Azam Kusababisha Maandamano kama ya Misri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupanda Bei kwa Bidhaa za Azam Kusababisha Maandamano kama ya Misri?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by magistergtz, Feb 4, 2012.

 1. magistergtz

  magistergtz JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa!
  Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala hoi.
  Je, hii inaweza kuwachukiza wananchi kiasi cha kuanzisha maandamano dhidi ya kupanda kwa gharama za maisha kama ilivotokea Misri au Algeria?
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  darasa la 7 wanaleta tabu sana humu wakishajua tu kusurf net muda wote nikuleta mada za hovyo hovyo
   
 3. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,336
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Kwani amewalazimisha kununua?
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,060
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Watanzania huwa hawachukii vitu vya namna hiyo, watachukia na kuandamana pale bei itakapo shuka!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,747
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Hizo bidhaa zimepanda lini?
   
 6. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Na wewe darasa la 3 tangu ulivyopata desktop hapo nyumbani kwenu unakomenti Kimasaburi saburi tu!
   
 7. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Hakuna maandamano yatakayoanzishwa na raia, msisahau uoga uliotawala wananchi wetu, hata kilo moja ya unga ikiuzwa Sh.20,000/- watu watalalamika tu halafu basi.
   
 8. majata

  majata JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Dalili za kutaka ku nya hizi? Eti! Umebanwa na nnya nini? Ina maana wewe huoni tatizo hili linalokabili taifa, kila kitu kimepanda kwa sh 200 kabla ya budget!, maandamano lazima safari hiii.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,456
  Trophy Points: 280
  Mods ondoeni huu ushuzi
   
 10. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu pamoja na madigree yako kama yale ya akina Dr.Dr.Dr.Dr Magamba kama huwezi kuijadili mada na badala yake unajadili personalities basi wewe in Ovyo Ovyo Ovyo Ovyooooooooo kulikoi darasa la 7
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa akili yako unadhani kila mtu analamba ice cream za azam?
   
 12. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,126
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  "REPAYMENT" "INSTALLMENT""MAREJESHO""PAR yako ngapi mkuu"
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  sasa nani anakula hivyo 'vyakula' laini ulivyosema Azam anavizalisha?

  Mimi sili vyakula laini, walaji wa vyakula 'laini' ndo wataadhirika.......na unawajua ni akina nani??!!!! Hahahahahaaa!!!
   
 14. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Mihogo.......maji ya kisima....machungwa fresh.....life goez on.......hakuna kemikAli........hahahaha
   
 15. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Wewe mwenye elimu mbona ndo unaonekana hoovyoo, unaleta dharau hata hujui status ya mtu kielimu. Lete shule yako basi tukuchambue, acha dharau!
   
 16. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,126
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mie ile Azam tropical mix siachi hata wauze elf kumi
   
 17. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,485
  Likes Received: 1,137
  Trophy Points: 280
  Masaburi na watoa tg
   
 18. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,079
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nasikitika sana wamepandisha bei ya ugimbi!
   
 19. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hahaha! You guys, we need serious thread, Tanzania hatuwezi kuwa na maandamano kama ya Misri kwasababu Azam amepandisha bei ya product zake. Kumbukeni kuwa viwada vidogvidogo vya kusaga vipo tandale vinatosha kulisha dar bila tatizo
   
Loading...