Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wazee mambo vip? Leo naomba kuuliza kwamba hivi kuna wafanyabiashara kariakoo wanao nunua bidhaa kama vile simu na Tv (electronics ) kwa bei ya jumla zanzibar ?
3 Reactions
9 Replies
475 Views
Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
0 Reactions
0 Replies
218 Views
❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za...
3 Reactions
0 Replies
707 Views
Kuanzia Desemba 2025, Zimbabwe inatekeleza sheria mpya kali ambazo zinalenga kutoa umiliki wa biashara kwa wananchi wake. Sheria hizi zinasema wazi kwamba biashara zinazomilikiwa na wageni katika...
1 Reactions
5 Replies
392 Views
Habari za jioni, natumaini mko salama. Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Many charities look for ways to fund their projects and keep their programs running. From small community groups to large international charities, the need for funds is constant and critical...
0 Reactions
1 Replies
299 Views
Salute Bosses!! Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wote waliobahatika kusoma uzi wangu niliouweka hapa miezi kadhaa iliyopita na tukaShare ideas mbali mbali za kibiashara. Lkn zaidi...
94 Reactions
507 Replies
122K Views
Habari wakuu nauza Simu Samsung A05 bado mpya. Ram 4gb, Storage 64gb, bei yake 170K
0 Reactions
12 Replies
444 Views
Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati. Soko la ujenzi linaendelea kukua kila siku kutokana na mahitaji makubwa ya nyumba, majengo ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu. Ni muda mrefu nimekuwa nikikusanya GVC coins kupitia referral na rewards mbali mbali. Lengo langu lilikuwa kufikisha coins 1100+ ili kuuza kwa GalaxyMarket kama wanavyoonekana hapo...
0 Reactions
9 Replies
425 Views
Mimi ni mwanafunzi wa UDSM ninasoma Computer Engineering. Kwa muda nimekuwa nikiona jinsi teknolojia inavyobadilika kwa kasi, lakini biashara nyingi ndogo hasa za mavazi bado zinapata shida...
7 Reactions
29 Replies
818 Views
Habari wana jamii Ninashiriki nanyi handmade home decorations ninazotengeneza mwenyewe, kazi zinazochanganya art, light na modern interior design. Kila piece ni unique, imetengenezwa kwa umakini...
19 Reactions
36 Replies
796 Views
JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake...
1 Reactions
2 Replies
488 Views
Naomba kujua nini changamoto ya biashara ya bucha la nyama,samaki na dagaa kwa dar es salaam.faida inayopatikana na kama kuna chochote cha kujifunza
0 Reactions
1 Replies
417 Views
habari zenu jamii forums ningependa kujua faida ya kujua katoni za maji makubwa ya lita 1 na nusu Wanaouza wanaweza kuyaleta kwa gari zao, hakuna gharama za usafiri
1 Reactions
3 Replies
386 Views
Habari wakuu, Samahani, naomba kufahamishwa bei ya bodaboda mpya na used pamoja na ushauri wa aina ya bodaboda iliyo bora zaidi kibiashara kwa hapa Dar. Pia, vitu vya kuzingatia kabla ya kununua...
1 Reactions
4 Replies
542 Views
Kwanza binaadamu kaanza tabia kuvuta tumbaku kabla ya yesu kuja,Tanzania watu wameanza kuvuta tumbaku zaidi ya miaka 200 iliyopita. Tumbaku inapendwa na kuna watu tunaifurahia. Inakuaje nyie TCC...
8 Reactions
18 Replies
510 Views
Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika...
6 Reactions
708 Replies
281K Views
HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu...
1 Reactions
1 Replies
500 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…