Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ningekuwa na mamlaka husika ningechagua mji mmoja ambao ungejengewa miundo mbinu mbalimbali halafu wadau mbalimbali wa sanaa wakapewa motisha ya kuwekeza sehemu hiyo. Katika mji huo kutakuwa na...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. M. Graham 1/2 ounce tube 2. Winsor & Newton cotman 3. Sennelier la petite acquarelle 4. Daniel Smith 285610005 extra fine essentials 5. Holbein Wc W40 set of 24 5ml 6. M. Graham GRM 33- 10 set...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
MAFANIKIO ya haraka ya Soko Kuu la Kimataifa la Dhahabu Geita ambalo ni la mfano katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, yamezivutia nchi za nje ambazo tayari zimeomba kulitumia soko hilo kuuza...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Katika mihangaiko yetu ya kujikwamua kiuchumi hatimae nimeingia kwenye mikono ya mikopo ambayo kimsingi hali ya uchumi ilivyo haikwepeki. Bahati nzuri repayments zinafanyika vyema ila mwezi huu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili. Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake. Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi) 1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu. 2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu...
8 Reactions
64 Replies
15K Views
Napenda kumpongeza Kalito wa Samaki Samaki kwa ubunifu mkubwa anaouonesha kwenye biashara zake. Kuanzia mapambo, mpaka huduma. Weekend hii nilikuwa kwenye moja ya viwanja vyake pale masaki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
‪#UNAAMBIWA Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na Hifadhi kubwa ya Dhahabu;‬ ‪10.India‬ ‪9.Uholanzi‬ ‪8.Japan‬ ‪7.Switzerland‬ ‪6.China‬ ‪5.Urusi‬ ‪4.France‬ ‪3.Italy‬...
7 Reactions
52 Replies
7K Views
Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua machine ya shawarma kwa hapa dar es salaam,mwenye nayo anauza au kujua bei ya machine hiyo mpya au used na mahali wanauza ntashukuru akinipa taarifa.Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu, wengi wanasikia kuhusu AFFILIATE PROGRAM(UUZAJI WA USHIRIKA), ila wanajua ni kuuza bidhaa za wazungu online. Ukitaka kufanikiwa kirahisi kwenye hii biashara dili...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
SHIRIKA la Wakala wa Meli Tanzania (Tasac) limepiga marufuku na limeondoa tozo za ushuru wa forodha kwa mamlaka za usafirishaji wa majini zilizokuwa kero kwa huduma hiyo. Utekelezaji huo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
INFORMATION NO. 2 - Kwa wale wanaofuatilia, habari ni kuwa SEACOM SUBMARINE OPTIC FIBER iko LIVE toka Thursday 23rd July 2009. - Dodoma imeunganishwa tayari kupitia Fiber ya TANESCO (Hakuna...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Hivi kwann marekani ndo inawawekea vikwazo nchi zingine zinazozingua mfano iran,kwann sio nchi zingine ndo zifanye hvyo?, au hakuna kitengo cha kimataifa cha kufanya hvyo?, je kama hao marekani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar zenu wana jf Nlikua naomba msaada wa mtu anaejua jinsi ya kuagiza spare parts za magari toka nje mpak tz. Makato, makampuni, na hasara zake.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Jamani kwa wakazi wa Bukoba na wageni.. hapawezi kupatikana madalali wanaoaminika wenye ofisi kwa ajili ya uuzaji wa mayai na nyama ya kuku hata
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…