Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wajasiriamali Wenzangu Naomba msaada wenu, nahitaji kuanza biashara ya kukodisha Mitambo yaani niwe na mitambo yangu niwakodishe watu. Lengo la kuweka uzi huu hapa kwenu nikuomba ushauri wa...
1 Reactions
44 Replies
17K Views
Habari wakuu. Nilikua naomba kuuliza kama kuna yeyote huku anayeuza au anayejua mahali ambapo ningeweza kupata moldi (vibobo) vya kutengeneza ice cream (barafu) nyingi. Inaweza kuwa kubwa au...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
amani iwe nanyi ndugu zangu,namleta kwenu kijana mwingine wa miaka 24 yeye ni mwl. wa s/m mwl.huyu anatamani kuingia kwny ujasiriamali kutokana na kipato kidogo,mazingira magumu na adha...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo kwenye pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na habari ya tajiri mmja wa marekani aitwae Marc Randolph. Huyu ni muasisi wa kampuni wa Netflix, kwa wale wapenzi wa movies na series mnaijua...
1 Reactions
1 Replies
970 Views
Habari Ndugu Zangu, ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Za jpili. Samahani. Naomba kwa MTU yoyote mwenye kujua utengenezaji wa Chopstick Nitashukuru sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Kuna wafugaji kadhaa wapo Kibaha nilianza mazungumzo nao ya kununua maziwa kwao na kuyaleta kuuza Dar na wapo tayari kwa hilo. Wao wamesema wataniuzia kwa sh 1000 kwa lita...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Biashara nyingi tatizo huwa ni wateja lakini kwa samaki na madini ni tofauti wateja wanakuwepo lakini bei ndio huwa changamoto kushuka na kupanda kuendana na upatikanaji Biashara ya samaki kwa...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Benki ya Kiislamu yazinduliwa Send to a friend Thursday, 24 November 2011 19:30 0digg Geofrey Nyang'oro WAFANYABIASHARA wanaofuata misingi ya dini ya Kiislamu...
0 Reactions
108 Replies
19K Views
Habari wadau, nafanya biashara ya ice cream hizi za ubuyu au ukwaju za kufunga. Changamoto ninayoipata kwa sasa niupatikanaji wa vifungashio/ vifuko. Kwa wadau waliopo DSM mwenye kujua mahali...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habar zenu, nipo kwenye harakat za mwisho za kufungua biashara ya chips. Tatizo nakosa location muda wa kutafuta location sina nabanwa sana na mambo ya kazi. Naomba msaada kwa mtu anaejua...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Mimi ni kijana ninasoma chuo, (SUA) Bsc Agronomy, nipo Likizo dar kwa sasa sina cha kufanya, sina hela na sina connection wakubwa naombeni ushauri wenu, nawategemea kimawazo, naweza kufanya kitu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ningekuwa na mamlaka husika ningechagua mji mmoja ambao ungejengewa miundo mbinu mbalimbali halafu wadau mbalimbali wa sanaa wakapewa motisha ya kuwekeza sehemu hiyo. Katika mji huo kutakuwa na...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
habari zenu wakuu, Natafuta wateja Wa jumla Wa dagaa wakavu kutoka mwanza nasambaza mikoa mbali mbali nauza kwa keshi nakukabidhi mzigo unanikabidhi pesa karibun Sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. M. Graham 1/2 ounce tube 2. Winsor & Newton cotman 3. Sennelier la petite acquarelle 4. Daniel Smith 285610005 extra fine essentials 5. Holbein Wc W40 set of 24 5ml 6. M. Graham GRM 33- 10 set...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
MAFANIKIO ya haraka ya Soko Kuu la Kimataifa la Dhahabu Geita ambalo ni la mfano katika nchi za Afrika Mashariki na Kati, yamezivutia nchi za nje ambazo tayari zimeomba kulitumia soko hilo kuuza...
3 Reactions
39 Replies
5K Views
Katika mihangaiko yetu ya kujikwamua kiuchumi hatimae nimeingia kwenye mikono ya mikopo ambayo kimsingi hali ya uchumi ilivyo haikwepeki. Bahati nzuri repayments zinafanyika vyema ila mwezi huu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili. Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake. Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Biashara 3 bora za kufanya ktk kipindi hiki cha mpito.(mdororo wa kiuchumi) 1.Fanya biashara inayohusiana na afya ya binadamu. 2.Fanya biashat a inayohusiana na vyakula vya binadamu...
8 Reactions
64 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…