Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

cetterhutter

Senior Member
Sep 5, 2017
167
75
Naombeni mnieleweshe mliowahi kufika Pemba nahitaji kwenda huko kununua vifaa vya umeme used kama laptop na simu. Swali langu kwenu: Zile boti zilizo pale Posta ya Zamani zinazoenda Zanzibar kule zinaenda kushushia Zanzibar ipi?

Naomba nijue kama zinashushia Pemba au hapana, na kama siyo zinashushia wapi nanikifika hapo nitatumia usafiri gani nagharama kiasi gani kufika Pemba. Tusaidie ili tuchakalike pamoja.
 
Zile boti za Azam na zingine zinàishia unguja. (Zanzibar) Pemba ni kisiwa kingine kuna umbali pia kufika. So nenda pale posta na kitambulisho chako cha taifa, ulinunue tiketi bei ni 25,000 Kwa daraja la kawaida.
 
Kama Azam nazingine zinaishia unguja nikifika pale inatakiwa nipande boti gani naomba unielekeze vizuri bos wangu
 
Pemba hakuna hayo maduka ambayo utapata kwa hizo bei unazotaka mkuu, soko la biashara ya hivo vitu unavotaka lipo hapa unguja sio pemba
Sawa bos unguja maeneo maeneo gani naomba kujua ili siku nikienda isiwe tabu sana kupata maduka
 
Bos mbona nimeweka nahitaji kwenda pemba lengo nikununua laptop nasimu used nasikia kule nibei lahis sana kuliko dar

Wanao uza laptop na cm ni wapemba lkn wengi wao wako unguja ndio kwenye biashara zao huletewa na na kaka zao walioko njee ya Afrika Pemba zipo pia lkn kwa wingi zipo unguja maeneo ya darajani, mlandege ,mkunazini ,mjimkongwe, kwamchina, kwerekwe ,amani ,na maduka ya suma nyuma na maeneo ya mjimkongwe hivo vitu utavipata maeneo hayo niliyokutajia
 
Wanao uza laptop na cm ni wapemba lkn wengi wao wako unguja ndio kwenyebiashara zao huletewa na na kaka zao walioko njee ya Afrika Pemba zipo pia lkn kwa wingi zipo unguja maeneo ya darajani, mlandege ,mkunazini ,mjimkongwe,kwamchina, kwerekwe ,amani ,na maduka ya suma nyuma na maeneo ya mjimkongwe hivo vitu utavipata maeneo hayo niliyokutajia
Nashukuru sana ndugu yangu kwamaelekezo hayo
 
Wanao uza laptop na cm ni wapemba lkn wengi wao wako unguja ndio kwenyebiashara zao huletewa na na kaka zao walioko njee ya Afrika Pemba zipo pia lkn kwa wingi zipo unguja maeneo ya darajani, mlandege ,mkunazini ,mjimkongwe,kwamchina, kwerekwe ,amani ,na maduka ya suma nyuma na maeneo ya mjimkongwe hivo vitu utavipata maeneo hayo niliyokutajia
 
Duh Pemba kule sidhani kama wana hizo biashara za Laptop, labda Unguja. Pemba toka unguja boti kule ni jumatano pekee. siku zingine , ndege ndogo.
 
Back
Top Bottom