MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,481
- 8,692
Ni ukweli kwamba Nchi za Waarabu wamefaidi mno Gesi na Mafuta na kwa sasa wameanza kuondoka huko na kuanza hata kujenga viwanda make wanajua wana muda mfupi sana wa kuendelea kufaidi.
Kwa sasa Nchi nyingi mno zimegundua either Mafuta au Gesi au vyote viwili.
Kwa Africa tu.
1. Tanzania
2.Msumbiji hawa ni gesi
3. SomaliLanda hawa ni gesi pia na mafuta kama sikosei.
4. Madagasca waligundua Gesi ya kufa mtu.
5. Uganda walisha anza sijui Kuchimba
6. Namibia
7. Ghana
8. South Africa
9.Moroco
10. Ivory Cost
List ni kubwa hapo zile zenye nayo kama Nigeria hazipo hapo.
Nje ya Africa kuna mataifa kama Brazili wenye uchumi mkubwa Duniani tiyari wana Chimba.
Nchi kama China zisha gundua hazina kubw Mno ya Gesi na mafuta.
USA wote hao wameanza kuuza gesi Ulaya.
Lisiti ni kubwa sana.
Mbaya zaidi Ulaya na Marekani wanaaza kuhama kwe ye gesi na maguta na kuanza kitumia nishati kama za Jua hii ni kwa sababu ya Mazingira.
Tutakuja kujikuta hatuna wa kumuuzia.