Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HELLO MEMBERS, PLEASE SHARE WITH ME ANY LEGAL (AUTHORISED) SUPPLIER/SELLER/DEALER OF ETHANOL- FOOD GRADE CONTACT: Email: goldmarkbeverages@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Watu wengi wanatamani sana kuagiza bidhaa mtandaoni kutoka Dar sababu bidhaa nyingi ni bei rahisi tofauti na mikoani lakini tatizo linakuja kwa wakazi wenyewe wa Dar wengi sio waaminifu. Wanunuzi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Ni siku ya tano leo ombi lango la kufungua Kampuni halijafanyiwa kazi, status bado "making final decesion" naona hakuna tena email yao wala status change. Walisharudisha mara tatu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Mwaka mpya? Bila shaka tunaendelea kupambana tu. Nina Idea 1 hivi ila implementation yake inahitaji watu wawe mikoa kadhaa wa kadhaa ndo Idea inaweza fanya kazi. Sasa basi kama uko...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu anapokea kama milion 7 hivi wiki hii, sasa kaomba ushauri afanyie biashara gani nzuri, ila yeye anasema kaona fursa mkoa wa Shinyanga maeneo ya Kahama, anataka kufungua duka la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake, nashindwa kuamini nchi kubwa kama Tanzania yenye uwingi wa watu na mali asili tunashindwa na nchi kama ETHIOPIA? Bado sina...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jf. Kampuni ya heritage financing company limited iliyoko Arusha mjini inyokopesha mikopo kwa riba ya 100% imeendeleza kilio nchini kwa kuuza nyumba za watanzania bila kufuata taratibu wala...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
Je hii taarifa ina ukweli gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
So uganda has taken the first possition as the best Entrepreneurial country in the world: From what i know about uganda is: -> It doesnt have the best government so far -> Much weak currency...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Mimi ningependa kuuliza kama mtu ukawa na wazo zuri la biashara, ukaandaa business plan nzuri unaweza kupata mkopo bank? Na kama kuna mtu anafahamu ni benki gani inaweza...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Naoma msaada wenu wadau. Nina mpango wa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, natakiwa kusukuma/kuvuta maji kwa umbali wa mita 250 (hakuna mwinuko mkubwa) halafu niyapandishe juu urefu wa mita 6 ili...
0 Reactions
47 Replies
24K Views
Hello JF family, Kwangu binafsi mradi ulioniumiza sana niliufanya nikiwa na miaka 16 wa kufuga kuku. Nilijenga kibanda nikaanza na kuku wawili. Nikawaendeleza hadi wakafika 25. Nikatumwa na mama...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu. iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
A deal signed last year between Canadian mining company Barrick and the Tanzanian government could unravel if its implementation is delayed any further. This was the indicting conclusion in a...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Kama tittle linavyojieleza. Karne hii ni rahisi sana kuingiza pesa ukiwa na HOBBIES ya vitu fulani madharani unapenda kusoma vitabu vya hadithi au vya biashara. Hivyo ni kitu kinzuri...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Katika kila nyanja ya maisha uaminifu huwa ni mtaji mzuri sana ...! Hii inakupelekea kuaminika sehemu nyingi sana... Kutana na mwanamama mfanyabiashara alokutana na changamoto nyingi na ngumu...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Wazawa wameamua kurudi kuwekeza nyumbani! Kiwanda cha Shafa Tanzania Investment ni kiwanda cha aina yake Afrika Mashariki na kipo Wilayani Mkuranga, Pwani. Katika ziara ya Waziri @AngellahKairuki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani msaada tafadhali natumia line ambayo niliinunua kwa mtu kwa ajiri ya m-pesa sasa nimeisajiri na majina yamebadilika sasa baada ya ter.20 nitaendelea nayo kweli?? Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…