Mikutano imeanza leo. Vipi unaifatilia?
Commonwealth Heads of Government meeting (CHOGM) inafanyika Rwanda 2020Ni nini ?
June 2020 tukitoka hapo tunaingia Dubai Expo 2020Ooh! kumbe ni mwaka huu. Itaanza mwezi wa ngapi?
Ndo maana Mbeya Mjini wameamua kwenda na TULIA badala ya kuzungusha mikono hewanNi mambo mazito sana yanajadiliwa, lakini naona baadhi ya watu wamekuwa hawayapi kipaumbele.
Same to Kigoma guySugu hana chake this time.
Toka uanze kuwa mwanaume ushawahi kukojoa goli 200?Sugu hana chake this time.
Kwa hio mmetoka kwny Davos hadi Siasa za CCM vs CDM?Sugu hana chake this time.
UK-Africa Investment Summit VP?Achana na hayo mambo, zilikua story za kuchangamsha uzi tu.