Uzi maalumu kwa wanaotaka kuacha shule na kupambana mtaani

The mission 2017

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
455
676
Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.

Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.

Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.

Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.

Uzi tayar.
 
Mimi ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.

Na kwenye kuchakarika kinachotakiwa ni mbinu Za kupambana kubadilika badala ya kutegemea vyeti tu sasa ni kuitumia elimu uliyoipata ya chuo au sekondari kuhakikisha unatoka either kwenye biashara, kilimo au kitu chochote kile ......
Aluuta kontinuaaa!
 
Mm ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.

na kwenye kuchakarika kinachotakiwa ni mbinu Za kupambana kubadilika badala ya kutegemea vyeti tu sasa ni kuitumia elimu uliyoipata ya chuo au sekondari kuhakikisha unatoka either kwenye biashara, kilimo au kitu chochote kile ......
Aluuta kontinuaaa!
Amen
 
Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.

Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.

Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.

Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.

Uzi tayar.
Kama unaujuzi wa kutengeneza kitu na kuuza,acha shule ukatengeneze.Na kama huna huo ujuzi,utafute kwa njia unayoifahamu
 
Umeongea KISOMI sana, hongera.

Hakika hiki ndicho kinachotakiwa kwa sasa......mwenye macho, nadhani atakuwa kashaona!
Mm ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.

na kwenye kuchakarika kinachotakiwa ni mbinu Za kupambana kubadilika badala ya kutegemea vyeti tu sasa ni kuitumia elimu uliyoipata ya chuo au sekondari kuhakikisha unatoka either kwenye biashara, kilimo au kitu chochote kile ......
Aluuta kontinuaaa!
 
Kauli ya kichovu Sana hiii in the 21st century.
Wewe jamaa ni mwehu.
Tangu jf ianze hakujawah kutokea uzi wa kipumbavu Kama huu wa kwako.
Yaani njaa yako wewe ndio ikufanye uwashawishi watoto wa watu waache shule?
Kazi ya shule ni kupunguza wapumbavu wa aina yako wewe,kupata kazi au pesa ni matokeo tu na sio guarantee.
Kwa hii mada yako sidhani Kama umefika hata darasa la saba.
Maana mtu aliyefika hata form four hawezi kuandika upuuzi Kama huu.
 
Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.

Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.

Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.

Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.

Uzi tayar.
Well said mkuu lakini vip wewe ushaacha hiyo shule?
 
Wewe jamaa ni mwehu.
Tangu jf ianze hakujawah kutokea uzi wa kipumbavu Kama huu wa kwako.
Yaani njaa yako wewe ndio ikufanye uwashawishi watoto wa watu waache shule?
Kazi ya shule ni kupunguza wapumbavu wa aina yako wewe,kupata kazi au pesa ni matokeo tu na sio guarantee.
Kwa hii mada yako sidhani Kama umefika hata darasa la saba.
Maana mtu aliyefika hata form four hawezi kuandika upuuzi Kama huu.
Hayo ni mawazo yako wewe, kulingana na uwezo wako wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom