Biashara ya chips kwa dar es salaam inaweza kunipa utajiri?

mwalimu wa mtaani

New Member
Joined
Jul 6, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Naomba wakongwe wa biashara ya chips DSM wanisaidie kijana wao, vp nnaweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap yaani kwenye kutafuta vitu vifuatavyo, pia wanisaidie ushaur kama biashara hii inafaa au

1.Kununua kabati la alminium kwaajili ya kuwekea chips na mishikaki na kachumbar
2. kutafuta eneo la wazi yaan open space sio kwenye fremu
3. gharama za viazi
4. gharama za majiko, kaangio na gharama za nishati kama gesi au kuni.
 
Milioni 2
 
Milioni 2
Hamnaa,
We bishololo ndo utafute hiyo.
Mi nishauza Chips home we hujazaliwa.
maza alipoona nazubaazubaa tu baada ya chuo kanitupia karai,mafuta,viazi na hela nyama kilo 2.
Aah nikajiboost hapo home nje.
Nilikua napiga hela njema tu.
Maza namrudishia shukrani anasema ongeza kukuchoma.
Nikimwambia hela hii hapa ye ndo kwanza anasema mpe oda pilau yote mamantilie ukauza hapohapo😁
Mama ntilie mapema tu pilau hilo
Kiepe,yai,mishkaki soda chochote mangi pembeni nae kachangamka fasta.
Yaani hela ilikuwepo.
Ni maza tu RIP 🙏nilitwa mzigoni akaniambia achana na hii biashara nenda kazini aisee.
Vile vyombo vipo vyote mpaka leo store km kumbukumbu.
Haviuzwi wala kukodisha.
 
Ushafanikiwa?
Nenda pale msasani sokoni mule ndani vyote unaokota kwa kilo moja tu mtaji wote,pakuuzia,fremu ni kwako itapendeza
 
Back
Top Bottom