Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

1 • Wakuu, Naomba niseme hili jambo wazi. Kupata pesa imekuwa rahisi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Imekuwa rahisi kiasi kwamba sasa hivi unaweza kukaa nyumbani kwako bila ya kwenda popote...
12 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari, Naomba muongozo sahihi juu ya usundikaji bora wa maziwa mgando kwa kutumia culture.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za asubuhi jamani.. Leo nimejikuta katika mawazo sana lipi la kuamua. Kuna pesa natarajia kuipata very soon... Sasa nawaza kufanya biashara ila nimeshidwa kuamua nimeona nipate mawazo kwanza kwa...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Kuna jamaa wanaitwa Mr Kuku Farms, wanasema wanafanya ufugaji wa kuku na wanahkmiza watu kuwekeza kwa ahadi kwamba unavuna mara 2. Nimeona wamepost na shuhuda mbalimbali motomoto kama zile za kwa...
17 Reactions
211 Replies
56K Views
Greentomarine,whitestone,silkon,amasist,brusafaya,amarode,roseganet,amarod,GALENA,COPPER,IRON ,amecyst bei gani kwa gramu na kampuni gani inatoa bei nzuri
0 Reactions
15 Replies
15K Views
Habari za Leo wakuu, I hope kila mtu yuko vizuri na harakati za biashara & ujasiriamali zinaendelea. Kama ilivyo ada, huwa naleta mada za kufundisha watu kuhusu Facebook and Instagram ads, na...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari, Naomba kufahamu vitu binafsi ambavyo porter anapaswa kuvibeba katika safari yake ya kuwapandisha wageni mlima Kilimanjaro.? nimeuliza kwa maana nahitaji kuwa porter. Shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa, awali mfuko wa cement apa Mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= Tsh lakini kuanzia wiki hii cement kwa...
3 Reactions
77 Replies
13K Views
Ningependa kufahamu jinsi ya kuanza hii biashara kwa mtu ambaye ameshawahi kufanya au bado anafanya anipe maelekezo jinsi ya kuanza natakiwa niwe na mtaji wa kiasi gan??
1 Reactions
5 Replies
892 Views
Habari wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu[emoji115] Awamu ya kwanza! Ilikuwa majira ya saa moja jioni ndugu yangu alinipigia simu na kuniita ofisini kwake huku...
7 Reactions
51 Replies
17K Views
Matumaini yangu sote tu wazima na tuenaendelea na harakati za kufanya maisha kuwa mepesi. Wadau mimi naomba kuulizia kama kuna mtu anajua juu ya Utaratibu wa kuomba eneo la kufanyia biashara...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni. Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wanabodi habari za leo! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nimelima mahindi na nikayahifadhi store maguni si mengi kama 200 hivi. Je kuna mdau yeyote anayejua bei ya kilo ni Shilingi ngapi...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu kama kichwa tajwa hapo juu kinavyosomeka, ikiwa nimeshaandaa zana zote za kuzalisha bidhaa mfano: mafuta ya kupaka. Je, napaswa nipite wapi na wapi ili bidhaa yangu iwe halali kwa mujibu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
1 • Uwezo wa kushawishi na kuclose deals kwa njia ya simu. Wakuu niseme wazi ninaclose deals nyingi sana kwakutumia simu. Unajua siku hizi mambo mengi tunafanya kwakutumia simu zetu hizi sasa...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina wazo la muda mrefu wa kuanzisha kituo cha michezo ya video kwenye playstations.Ila kinachonipa ugumu ni mtaji wa kuanzia. Npo sehemu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu? Natumaini wote hamjambo,wale wanaoumwa Mungu atawasaidia. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwanza namshukuru mwenyezi Mungu mtaji wangu umeongezeka hadi kufikia hapo, juzi...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana? Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana. Wengine wanasema watu wa maofisini...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari Wakuu! Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi...
12 Reactions
273 Replies
50K Views
(1) Uko dukani kwako unalala; Hii ni tabia ya wadada wengi, hawaheshimu Biashara zao kabisa. Unaingia dukani unakuta kaweka kadoro, katandika kiko chini kalala, hivi kweli kama huheshimu Biashara...
15 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…