rafiki255
New Member
- Oct 17, 2020
- 3
- 1
Wakuu kama kichwa tajwa hapo juu kinavyosomeka, ikiwa nimeshaandaa zana zote za kuzalisha bidhaa mfano: mafuta ya kupaka.
Je, napaswa nipite wapi na wapi ili bidhaa yangu iwe halali kwa mujibu wa sheria za nchi? Au napaswa kuanza kuzalisha kisha niingize bidhaa sokoni na kwakufanya hivi bidhaa yangu itakuwa halali?.