Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wadau wa hili jukwaa. Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salama wakuu naomba kusaidiwa jmn anayefahamu namna gani naweza safirisha mzigo wa biashara Tanzania to Zimbabwe kwa kuutuma mzigo i mean natuma mzigo huku kuna mtu anaupokea Zimbabwe ni gari gani...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Jack ma founder and executive chairman of Alibaba Group speaking at a round table meeting organised by KEPSA and UNCTAD. Kenya Agribusiness and Agro Industry Alliance was present represented by...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuwa na degree au kuwa na PhD haimaanishi kuwa unaweza au unafahamu kila kitu. Kila siku kuwa mtu wa kujifunza kutoka kwa watu wanaokuzunguka kila siku. Katika maisha yako ya kila siku hasa kwa...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu...... Natumai mko vyema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika, Mimi ni mtumishi wa wajamii, najihusisha na Utabibu wa binadamu.... Natamani kuwa mjasiriamali...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara. Natanguliza shukrani zangu.
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Karibu sana katika ziara itakayofanyika kuanzia tarehe 28 January hadi 4 February nchini Comoro. Sent from my iPhone using JamiiForums
6 Reactions
23 Replies
7K Views
Hellow Mambo vipi wanajamii.. Kama alivyo mungu mkuu ametuamsha Tena na bila shaka tu wazima. Leo ninakuja na hili nimeajichanga changa nimeipata 1.2 milioni na nimepanga kuanzisha Banda/ kiduka...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal) naomba kujua kiasi gani cha mtaji niandae.πŸ™πŸ™πŸ™
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ninahitaji kutuma pesa internationally kutoka Tanzania kwenda India. Njia kuu nilizozisikia ni Western Union na Moneygram.. Katika hizi ipi ni bora na kwa nini? Je, makato...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali. Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu, Tueleweshane hapa kodi ipi ipo sahihi na ipi imezuka kuanzia ngazi ya Kijiji, Halmashauri, Manispaaa, Miji midogo mpaka Jiji halafu Taifa inaweza kutusaidia kuelewa juu ya masuala ya kodi
2 Reactions
2 Replies
962 Views
Tanga ndie nyie ndio mnaotupaka mafuta ya mgando na lotion kwani katika maduka yote tanzani lazima utakutana na mafuta kutoka kwenye Viwanda vyenu hili halihitaji ubishi Tanga pharmaceutical &...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Kama utangulizi unavyosema nahitaji watu wenye uwelewa juu ya biashara ya simu faida na hasara zake pia upatikanaji wake mtaji mimi nipo Mbeya mjini.
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…