Fursa ya kufanya biashara nchini Comoro

Dec 2, 2019
6
6
Karibu sana katika ziara itakayofanyika kuanzia tarehe 28 January hadi 4 February nchini Comoro.
IMG_9513.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vita kubwa tuliyo nayo Watanzania ni kukosa uaminifu, hii inaturudisha nyuma sana.
Huenda habari hii ni ya kweli, lakini kwasababu ya wengi kukosa uaminifu tunapuuzia kila kitu kuepuka kutapeliwa.
A pure Tanzanian...
A true son of my lovely country Tanzania
Hakika umetuwakilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
NAIONA DALILI KWA MBAAAAALIII!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Atalia mtu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inachekesha sana maana wao ndo inabidi watoke huko Moroni Comoros waje kuona kila fursa huku maana nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza chupi
 
Mtoa Uzi unaita watu bila maelezo. Elezea zaidi


Alexander

Karibu ujiunge nasi katika ziara ya kufanya biashara nchini Comoro katika sector za kilimo na mifugo pamoja na bidhaa za viwandani.
Ziara itafanyika kuanzia tarehe 28th Jan - 4th Feb.
Gharama za usafiri ni Usd 1000 (2.3 M za kitanzania)


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Karibu ujiunge nasi katika ziara ya kufanya biashara nchini Comoro katika sector za kilimo na mifugo pamoja na bidhaa za viwandani.
Ziara itafanyika kuanzia tarehe 28th Jan - 4th Feb.
Gharama za usafiri ni Usd 1000 (2.3 M za kitanzania)


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu mimi nina waamini ninyi sio matapeli.
Tatizo hii bei yenu inatisha, kuna kampuni sitaitaja hiyo gharama yenu kwenda Comoro ni sawa na wao kwenda Israel au karibia na ya kwenda China kwa tour za kibiashara hivyo hivyo.
Kwa safari ya Israel kufanya pilgrim unapitia Egypt mnashangaa kisha mnaenda zenu Israel.

Hiyo ni sawa na safari ya Dubai pia kwa hiyo kampuni, kifupi bei yenu ipo juu sana kwa safari ya Comoro.
 
Back
Top Bottom