Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jambo hili nimeliona kwenye uwanja wa Aman nimeona ni la kushangaza kidogo kwa mtazamo wangu naona mgongano wa kimaslahi kwa taasisi hizi mbili Namaanisha CRDB Bank na NMB Bank mabango yao wote...
1 Reactions
0 Replies
805 Views
Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Ndugu zangu naomba ushauri wa biashara ipi Haina risky sana kati ya hizo mbili (pembejeo na pharmacy) nmemalza chuo na mtaji kama wa million tatu napenda kufanya biashara ya pharmacy au duka la...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF @ Soko la hisa, UTT AMIS na Hatifungani CRDB Bank PLC ni kampuni mojawapo iliyoorodheshwa hisa zake katika soko la hisa la DSE. Hisa za CRDB zimekuwa zikifanya vizuri katika soko...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Kwa mtazamo wangu, watu ambao hawakutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa watumishi wa umma, kwa maana ya kujenga, kuwekeza,kununua gari/magari, n.k, hivi sasa mazingira ni magumu zaidi na inaweza...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
CONSIDERATIONS FOR 2021 ________________________________ @Soko la hisa, Utt AMIS na Hatifungani 1. ON EARNING: Never depend on single income. Make investment to create a second chance...
3 Reactions
0 Replies
501 Views
Wapendwa habari za leo. Naombeni kujua nauli ya kutika Arusha hadi Uganda Kampala. Nataka nisafiri kwa bus nina shughuli binafsi naenda kufanya kule. Naomba pia nipate ufafanuzi wa sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Habari wazawa ! Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Mimi ni mkazi wa Dar na Dodoma. Moja ni jiji la kimataifa la biashara na jiji lingine makao.makuu ya nchini. Haya majiji ni machafu sana yametapaa vibanda mpaka barabara zimekosa uhalisia wake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu. Ndugu zangu naomba ushauri wenu, nataka kuanzia maisha upya nifanye biashara hasa biashara ya mtumba, kwa mtaji wa laki 6. Naomba niulize mkoa gani unaweza nisogeza na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna fursa mpya imekuja, umeshawishiwa kwamba ni nzuri na ukafanya maamuzi ya kuingia kwenye fursa hiyo. (fuga kware) Umeamua kuingia, wakati unaanza kufanya unakutana na ugumu fulani, kabla...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Nakaribisha mtu yeyote ambaye angependa kufanya biashara ya kusindika unga wa sembe nje ya tanzania aje tuunganishe nguvu. Sifa Awe tayari kurellocate Awe na passport mpya na awe tayari kulipia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo. Hata kama ina hela bas ni vijihela We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon...
18 Reactions
52 Replies
8K Views
Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wakuu. Naomba kujua Bei ya taa za nyuma ya tv "backlight"wanauzaje dukani? Aina ya TV ni Zec nch 32 Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habari ya leo, naomba msaada kwa mwenye uzoefu au anaemjua mwenye uzoefu, anisaidie uendeshaji mzima wa biashara hii ya michemsho na supu, Kwa mawasilino zaidi 0753348841
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply) Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Habar za wakati huu memba mwenzangu,ndugu,jamaa, na mwana jamiiforum mwenzangu. Natumai wewe unayesoma ni mzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako na Mungu akutie nguvu kwa kila ufanyalo...
0 Reactions
39 Replies
27K Views
Niende moja kwa moja kwenye point kama heading inavyojieleza. Lengo la hii thread ni kuomba wajuzi wa hii biashara tushauriane. Nimeanzisha biashara ya kuuza kitimoto Dar maeneo ya Kibamba njia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…