toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Habar za wakati huu memba mwenzangu,ndugu,jamaa, na mwana jamiiforum mwenzangu. Natumai wewe unayesoma ni mzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako na Mungu akutie nguvu kwa kila ufanyalo lifanikiwe,,,
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada
Kwanza mimi ni mwanachuo nimebahatika nimepata shilingi elfu 50 nataka niingize kwenye biashara ili nitengeneze kipato cha kuendeleza maisha yangu ?
Nasoma kwa level ya diploma Arusha huku napenda sana kujishughulisha
Am still young bado ndo kwanza miaka 19 ila ninajitahidi na kupambana na hali yangu
Nishaurini wakuu hii elfu 50 niwekeze katika biashara gani wakuu hapa katika jiji la arusha
Ushauri ni muhimu sana asante