Habarini ndugu zangu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu, nataka kuanzia maisha upya nifanye biashara hasa biashara ya mtumba, kwa mtaji wa laki 6.
Naomba niulize mkoa gani unaweza nisogeza na kunipa faida kwenye biashara hii ya mtumba hapa nchini.
Na ni aina gani ya nguo za mtumba zinaweza nitoa tena kimaisha.
Taarifa zangu nina miaka 35, ni mlemavu wa mguu na sisikii vizuri, nipo Dodoma asanteni.