Wakuu mnanishaurije kijana wenu?

Wakuu mnanishaurije kijana wenu?

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,961
Reaction score
25,325
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply)

Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda 26 sasa na nimeonelea nipige mishe ya kuuza karanga za mayai pamoja na cripsi za ndizi na viazi.

Mtaji nilionao ni kama 500k na natengeneza na kuandaa mwenyewe. Target yangu kubwa ilikuwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari ila ndo hivyo zimefungwa dah!

Hivyo naomba mawazo yenu wakuu nikisambaza kwenye maduka kwa makubaliano maalumu na wenye maduka itaafaa? Je italipa? Kamtaji ndo ako nilichonacho yani ..kakipotea ndo basi tena nijichangee tena upya.

Au kama kuna biashara nyingine mnaweza ni advice tu kama vipi. Mimi nipo Arusha apa town ndo nilikozaliwa ila naweza piga mishe mkoa wowote na nchi yeyote pia.

Asanteni naombeni mnishauri mdogo wenu na wadogo zangu pia karibuni..

Amen!!

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nmekuwa nkiona unai appreciate forex na ww ukiwa among fx traders je umeacha hii biashara?? nn kmekufanya uachane nayo.
we may learn sth frm u

BTW chuga ni eneo la utalii waweza kujihusisha na utengenezaji wa kacha na urembo wenye mahadhi ya kiafrica kama vile vidani vya kuvaa shingon na mambo yakawa poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhh!kuna changamoto san huko kwenye supermakts ukipeleka bidhaa yako wanazo km 6!arghh wakihurumia watachukua pcs 10!then hawakulipi wanakuambia uje after 14dys!
Chekecha akili
 
mkuu nmekuwa nkiona unai appreciate forex na ww ukiwa among fx traders je umeacha hii biashara?? nn kmekufanya uachane nayo.
we may learn sth frm u

BTW chuga ni eneo la utalii waweza kujihusisha na utengenezaji wa kacha na urembo wenye mahadhi ya kiafrica kama vile vidani vya kuvaa shingon na mambo yakawa poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Forex nilikosa mtaji wa maana wa kusimama na kuna sababu zingine pia zimejitokeza mkuu..

Ila nitarudi soon kwenye industry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah embu funguka kidgo mkuu uliwahi kufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliwah tengeneza unga wa lishe! Aisee..unakutana na label km 20!.akikuonea imani anachukua mifuko 5! Maisha haya!..then hupewi cash...utasumbukia hako ka hela kukapata...sijui lakini...ila karanga na lishe ni wale wale
 
Me target yangu ni wanafunz sana sana ..ila ndo ivyo shule zimefungwa na muda wa kufunguliwa ndo haujulikani ..ila nitajaribu ivyo ivyo tuone itakuwaje ..

Bora kufanya kuliko kutokufanya kabisa mkuu..

Au kama una wazo lingine pia nishauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me target yangu ni wanafunz sana sana ..ila ndo ivyo shule zimefungwa na muda wa kufunguliwa ndo haujulikani ..ila nitajaribu ivyo ivyo tuone itakuwaje ..

Bora kufanya kuliko kutokufanya kabisa mkuu..

Au kama una wazo lingine pia nishauri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana mkuu sina wazo jingine..bora ufanye kuliko kutofanya kabisa!
 
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply)

Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda 26 sasa na nimeonelea nipige mishe ya kuuza karanga za mayai pamoja na cripsi za ndizi na viazi.

Mtaji nilionao ni kama 500k na natengeneza na kuandaa mwenyewe. Target yangu kubwa ilikuwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari ila ndo hivyo zimefungwa dah!

Hivyo naomba mawazo yenu wakuu nikisambaza kwenye maduka kwa makubaliano maalumu na wenye maduka itaafaa? Je italipa? Kamtaji ndo ako nilichonacho yani ..kakipotea ndo basi tena nijichangee tena upya.

Au kama kuna biashara nyingine mnaweza ni advice tu kama vipi. Mimi nipo Arusha apa town ndo nilikozaliwa ila naweza piga mishe mkoa wowote na nchi yeyote pia.

Asanteni naombeni mnishauri mdogo wenu na wadogo zangu pia karibuni..

Amen!!

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu biashara sio kuuza vitu ni kujiuza wewe(skills) jitahidi kujijua wewe kwanza.

Tafuta mawazo ya nini ufanye ndani yako mwenyewe usitoke nje yako kutafuta nini ufanye kila mtu anakitu chake ambacho mwingine hana, mawazo yanayotoka nje yako hayatakusaidia sana.

Tuliza akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply)

Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda 26 sasa na nimeonelea nipige mishe ya kuuza karanga za mayai pamoja na cripsi za ndizi na viazi.

Mtaji nilionao ni kama 500k na natengeneza na kuandaa mwenyewe. Target yangu kubwa ilikuwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari ila ndo hivyo zimefungwa dah!

Hivyo naomba mawazo yenu wakuu nikisambaza kwenye maduka kwa makubaliano maalumu na wenye maduka itaafaa? Je italipa? Kamtaji ndo ako nilichonacho yani ..kakipotea ndo basi tena nijichangee tena upya.

Au kama kuna biashara nyingine mnaweza ni advice tu kama vipi. Mimi nipo Arusha apa town ndo nilikozaliwa ila naweza piga mishe mkoa wowote na nchi yeyote pia.

Asanteni naombeni mnishauri mdogo wenu na wadogo zangu pia karibuni..

Amen!!

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ukisikia majanga ndio haya sasa.... Unapanga mipango alafu corona nayo inaleta zake
 
Bwana mdogo Ollachuga pole sana, kila mtu ameguswa na Corona

Nimeona kama majibu unayo tayari ila unakosa tu ujasiri wa kuanza biashara, Anza sasa

Pitia kwenye maduka kadhaa uwaombe kuweka hizo bites, halafu shule zikifunguliwa endelea na plan yako, utakapoanza kupeleka shuleni usisahau na ice cream

Back
Top Bottom