Habari wana Jf
Dah hivi kuna mtu ana connection ya watu walioko china wanaoagizwa mizigo?.
Na je nikitaka kuagiza mzigo mfano pochi za kina dada na mazagazaga mengine kama hayo natakiwa kuwa na...
Marafiki wa kufanya nao tathmini ya bei ya mazao katika Wilaya na Kata walizopo za nchi nzima ili tuweze kusaidiana kujua bei za nafaka samaki wabichi, na dagaa wabichi pale alipo na tutakuwa tuna...
Habari wakuu.
I trust you are good.
Nipo hapa kama kawaida ku-share maarifa yatakayokuongezea VALUE kwenye life yako.
Hasahasa namna yakuona opportunity na kuzitumia kwa faida.
Kwa kuanza...
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu ijulikanayo kama “Jiachie Utakavyo” ambapo wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi sasa kufurahia riba ya hadi asilimia 14. Akizungumza katika mkutano na...
Moja ya vitu ambavyo vinawapa Adavantage Wahindi zidi yetu ni swala la Usimamizi wa Biashara.
Muhindi akianzisha Kijiwe cha kuchoma Kuku atakuwepo pale intact yaani sio aanzoshe then aanze kupiga...
Wadau JF,
Mnalionaje hili, sasa hivi kuweka pesa yako benki unajitakia umaskini.
Jamaa wa TRA kiulaini wanakuja kuichota kama vile ukakasi wowote ni mali yao.
Kutumia benki kwa malipo halali...
Samahani kuwa nje,
Nauliza hivi kuhamisha hela benki CRDB kutoka akaunti moja kwenda akaunti nyingine( mtu alipata overpayment) hivi inaweza chukua muda gani?
Anayejua🙏🏿🙏🏿
Wenye uelewa Wa biashara ya retail na kufanya investment analysis wanaweza kunipa tips ,eneo gan linafaa kujenga mall kubwa ya kisasa kwa kibaha kwa kuzingatia high way ya lane 12 ya Kimara...
HABARI WANA JF!
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Natafuta wahusika wakuuza hoteli au mteja wa kununua hoteli kwa Tanzania. Hivi process ipoje kuwapata wahusika hawa.
asanteni.
kwajiji haswa la...
Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea...
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japo kuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua muda gani kureflect kwa account yangu.
======
Update: Hatimae pesa...
Shirika la Ndege la Qantas Australia lenye miaka 100 kazini limeshika namba moja kwenye orodha ya 2021 ya Ndege salama zaidi kusafiri nazo duniani iliyotolewa na airlineratings.com ambapo namba 2...
Biashara ya Mfumo wa manunuzi ya bidhaa zote zinazipatikana China kwa Bei ya jumla kwajili ya wafanyabiashara wadogo na wakati kwa Tanzania nzima, kupitia mtandao. Platform(mobile app) ipo Hewani...
Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing...
Chinese firm set to develop sprawling Tanzania tourist town
October 3, 2017
[https://45f834269e626fd5bc92d3c0-lgqvurlx]
Standing as the first town on the Tanzanian coast where early travelers...
Wadau kheri ya mwaka mpya (2021)
Mbele yenu naomba USHAURI juu ya Biashara mbadala
Aidha baada ya kumaliza Chuo 2017 nilipenda sana kufanya shughuli za stationery na nilianza kufanya hata wakati...
Tafuta hela kwa nguvu zako zote, sana sana ukiwa kijana, ukiajiriwa au ukijiajiri fanya kazi kwa bidii bila kusahau kumshukuru Muumba kwa sala na zaka.
Tafuta hela kama muuza machungwa...