Ushauri wa biashara mbadala

Joel Suta

Member
Jan 3, 2016
36
14
Wadau kheri ya mwaka mpya (2021)

Mbele yenu naomba USHAURI juu ya Biashara mbadala

Aidha baada ya kumaliza Chuo 2017 nilipenda sana kufanya shughuli za stationery na nilianza kufanya hata wakati nasoma Chuo...hivyo kwa wakati huo niliandaa Vifaa kidogo na baada ya kumaliza nilianza na shughuli hiyo ilikuwa Ngumu sana Kutengeneza jina lakini namshukuru Mungu mpaka sasa napata rizki kidogo na maisha yanaenda ingawaje outcome yake si ile niliyotegemea.

Hivyo mbele yenu naomba msaada wa mawazo ni aina gani ya Biashara mbadala naweza Fanya pia kuongeza kipato angalau nifanye kitu cha kimaendeleo.

Nipo Dodoma-Bahi, balance ya mtaji laki 6

CHANGAMOTO:- sipendelei kufanya zile biashara za kila siku kwenda kununua ndo uuze (Genge, kioski, nk)

Nawasilisha kwenu wadau wa JF

Karibu
 
Mkuu capital yako ndogo hivyo inakufanya ukubali kufanya biashara ya kutoka ili ifike siku ufanye hiyo biashara ya wateja kukufata wewe ulipo. Mkuu kila la kheri
 
Kuwa mzabuni...fata maharage mkoani uje uwauzie kantini ya chuo, anza ata na gunia 3, trust me..UNATOBOA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom