Bar code | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bar code

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by magee, Jun 8, 2012.

 1. m

  magee Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Msaada namna naweza pata barcode.muhimu
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Ongea na huyu , anafanya kwa hao watoa barcode pale Upanga 0779 620 116 au 071-907-0982
   
 3. m

  magee Senior Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashukuru sana mkuu!God bless!
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Poa kamanda,
  Umecheki nae lakini??
   
 5. M

  Manyovu Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  [Ongea na huyu , anafanya kwa hao watoa barcode pale Upanga 0779 620 116 au 071-907-0982[/QUOTE]

  Hi Shark, naona huyu yuko Dar, vipi kwa tulioko Arusha kuna ambaye una contacts zake? Na mie nilitamani kwenye stationery yangu niweze kuona kama inawezekana kuweka system ya bidhaa zote kuwa coded.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Watoaji wa Barcode kwa Tanzania ni hao tu (GS1) peke yake, cheki nae tu, labda wanao huo utaratibu kwa watu wa mikoani pia.
   
 7. Kisusi Mohammed

  Kisusi Mohammed JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 442
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Cheki na huyu jamaa ni mkurugenzi ktk hilo kampuni la GSI anaweza kukusaidia kwa huko Arusha anapatikana kwa 0713666616
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wafanyakazi wanaongeza za daladala, unataka kuwathibiti kuvutia wateja kwa bei za uhakika zisizobadilikabadilika?
   
 9. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wat is barcode?
   
 10. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  What this business is all about?
   
 11. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Mpaka mwaka jana nilikuwa natoa huduma ya GS1 Barcode kuanzia allocation ya Global Trade Identification Number (GTIN) mpaka origination ya Barcode. Baada ya ujio wa GS1-Tz nimeachana na Hizo allocations za GS1 na nimekaimisha barcodes za UPC-UCC, EAN, Universal Containers Shipping Codes, na Asset Managent Identification Services. Ukiwa unahitaji la codes tofauti na zitolewazo na GS1 Global basi naweza kukuunganisha.
   
 12. K

  Kosmio Senior Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu naomba contacts zako.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nini Faida za Barcodes kwenye bidhaa? Au ni hii tu ya kuwedha kuuza bidhaa kwenye super market na kimataifa tu?
   
 14. M

  Manyovu Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Hi Shark and Kisusi

  Nashukuru kwa contacts, nitawasiliana na wahusika ili nione wanavyoweza kunisaidia kupata huduma hii.

  Be blessed.
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Kaka,
  Mkurugenzi pale ni Mdada, why unasema ni "Jamaa"??
  Au jamaa haiko gender oriented??
   
 16. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Mhhh naona hii mitaa hainihusu sana!
   
 17. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Angalia kwenye chumba chako cha PM...nimekutumia
   
 18. m

  mbeshere Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi natoa mkuu barcode,barcode reader na barcode scanner nipigie tuongee biashara 0754432409 niko Dar..
   
 19. K

  Kosmio Senior Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante mkuu.
   
Loading...