Nina mradi wa kujenga Mall kubwa Kibaha

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Aug 3, 2019
276
273
Wenye uelewa Wa biashara ya retail na kufanya investment analysis wanaweza kunipa tips ,eneo gan linafaa kujenga mall kubwa ya kisasa kwa kibaha kwa kuzingatia high way ya lane 12 ya Kimara -Kibaha
N:B Biashara inalipa ilifanywa kwa akili na utafiti kwanza
 
Unaenda poteza hela zako.
Angalia watu wa huko wana uwezo kupangisha kwenye hiyo mall na je mzunguko wa Pesa ukoje

Pwani yote kama Mkoa haifai uwekezaji mkubwa wa retail shops kama Mall
 
Wenye uelewa Wa biashara ya retail na kufanya investment analysis wanaweza kunipa tips ,eneo gan linafaa kujenga mall kubwa ya kisasa kwa kibaha kwa kuzingatia high way ya lane 12 ya Kimara -Kibaha
N:B Biashara inalipa ilifanywa kwa akili na utafiti kwanza
Modern retail shops malls zinahitaji kuepo kwa strong middle class income, pamoja na kua with strong purchasing power and habit,.....Kibaha morogoro mbezi mlandizi kuna ma peasant wengi na watumishi wenye kipato duni, labda hiyo mall uiweka Dar tena sio kala sehemu, Tz sehemu nyigi hilo tabaka halipo watu wengi wanapendelea kununua vitu kwenye magenge na viduka vya ajabu ajabu
 
Na je Kibaha panafaa kujenga mall kubwa ?
Kibaha ina watu wenye mindset ya aina gan?
Kipato chao kikoje?
Population ya watu wa Kibaha ni kiasi gani?
Miundo mbinu ikoje?

Hauo ndo maswali unayotakiwa kujiuliza.
Mafanikio ya Mall uoyote inategemea na watu. Watu huvutia retailers, retailers huleta kodi, kodi huleta faida kwako.

Kwa mtazamo wangu kibaha kwa sasa haifai,tafuta eneo ambalo ni vibrant, na economy base ya watu ni nzuri otherwise you will struggle. Maybe along Old Bagamoyo Road, Sam mujoma, Peninsula kule sawa.
(From a Property Management Point of View)
 
Mmmh watu wengine wa ajabu sana.

Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.

Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.

Appearance also matters hivyo architectural design matters
 
Asante mkuu naona wengi hawakunielewa,MHe.Rais JPM anajenga Njia 12 Kimara kibaha ,popote duniani penye lane said l ya 5 ,huwa kuna kuwa investment kubwa sana ,believe you me ,hii barabara ya lane 12 italeta watu wengi sana along morogoro super high way ,watu wengi inaaamanisha uwekezaji na biashara ,nitazingatia maoni yako mkuu
 
Mmmh watu wengine wa ajabu sana.

Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.

Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.

Appearance also matters hivyo architectural design matters
Duh! Eti mauzo ya minisuper market ya msolwa chalinze inazidi mlimani city? Are you serious? Kiapartment kidogo cha kupanga tu unajua kodi yake? Nachenyewe kabwela uwezi kukipata alafu useme m/city hakuna biashara? Wengi m/city wanafanya online trading too!
 
Kibaha kweli jaman usidhubutu wataalamu wabiashara wanasema biashara ni eneo na eneo ndo soko lenyewe ila kwa kibaha hapana hiyo mall bora ukajenge mbagala rangi tatu mara 1,000
 
Mmmh watu wengine wa ajabu sana.

Tusipende kuwasema watu wa pwani bila kujua investment plan ya mhusika. Kusema watu wa pwani spending power yao ndogo na primitive society ..... hebu tuangalie pale Chalinze msolwa kuna kituo cha mafuta lakini mauzo yao ya ya ile mini super market ni zaidi ya ya shoping centres za mlimani City.

Investment plan yako ndio itafanya centre yako ichangamke hasa kama utaweza kutoa aina mbali mbali za huduma hasa wasafiri. Pricing strategy ya operators, michezo mbali mbali kwa makundi tofauti na juzingatia culture ya mahalia.
Ukizingatia hayo hata uieweke Kibiti haitakosa wateja.

Appearance also matters hivyo architectural design matters
Mini supermkt ya Oil station ni zaid ya Mlimani City... This is some primitive shit right here
 
Kumbe mtoa mada unaetaka kuinvest ndo unasema MINI SUPSRMARKET YA PETROL STATION INA MAUZO ZAIDI YA MCITY...kumbe ushakaza mindset yako sasa sijui kwa nini ulikuja kuomba ushauri
 
Kibaha kweli jaman usidhubutu wataalamu wabiashara wanasema biashara ni eneo na eneo ndo soko lenyewe ila kwa kibaha hapana hiyo mall bora ukajenge mbagala rangi tatu mara 1,000
mkuu umenichekesha mall kigamboni itamlipa kuna middle class ipo kubwa kuanzia mitaa ya nyumba za nssf huku mikwambe mji mwema hadi ferry utapata wauza sura wa kuja ku fake maisha
 
Shida sana nani kakuambia kwamba malls ni kwa kuuzia sura ?haiko hivyo nchi zingine wanaoenda kwenye malls ni watu masikin sana
 
Nenda pale shirika la elimu Kibaha wana eneo kubwa sana... Wape mradi wako mnaingia partnership unajenga mall yako...

Ila kama wewe ni mtu wa kati utapata ugumu
 
Back
Top Bottom