Najua watanzania wengi tunapenda kitonga(mteremko)
Hivyo ikitokea bidhaa kwa bei nafuu tunakimbilia huko
Naomba kuwasaidia kuwafunga macho kwa hawa matapeli wa mitandano
Ndg yangu ukiona kitu...
Zamani tulidhani girls wakisimamia shop biashara itachanua. Leo unarudi unakuta wao ndio wamechanua kuliko biashara 😂
Mabinti wamekuwa wajanja sana siku hizi, miezi 6 ya mwanzo watapiga kazi...
Vp boss
Boss wangu ad vibanda vya mbao tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nopeni kaz..
0692477610
Wakuu wa jukwaa,
Leo nataka niongee kitu ambacho naamini kinaweza kubadilisha namna tunavyoendesha biashara zetu za kila siku hasa sisi wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Ukweli ni huu
Biashara...
Wandugu
I am reaching out to you with a crazy idea that I'm sure will boost your business. As we all know, people love to come together, socialize and have drinks including cold beers😋🍺🍻 whoow...
Dar es Salaam. Utafiti mpya umeonya kuwa Tanzania inaweza kushindwa kunufaika kikamilifu na rasilimali zake kubwa za gesi asilia endapo utawala, uwezo wa taasisi na uhusiano wa kiuchumi...
Mshahara ni laki tano kwa mwezi.
Goal: To cut expenses, And save more while investing for long term!
Tuchambue bila hisia.
Monthly Income: 500,000 TZS
Kama unaishi Dar au mji wowote, kama...
Habari wadau, ninauza mafuta ya alizeti kutoka Singida.
Kiasi Kilichopo: 5,000LTRS
Package: 20Ltrs & 5Ltrs
Bei: Tsh 6,000 per Ltr
Napatikana: Dar Es Salaam
MOQ: DUMU 50 (20LTRS)
Mawasiliano...
Nimeamua kuja na wazo biashara kwa wale walimu wote wanaojituma kwenye kuandika makala mbali mbali hasa za kitaaluma.
Fursa ipo kwenye kuandika na kutafuta walaji wa kile unacho kiandika...
True case study!
“Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji.
Aliniambia ana...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Watanzania kufikia ndoto zao kwa kuwapatia suluhisho sahihi za kifedha, hatua inayotarajiwa kuchochea ukuaji wa...
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na...
Njia ambazo unaweza kupata idea ya biashara na kuweza kufanikiwa katika maisha
1.Interest, obby(kupenda)
Unaweza kuanzisha biashara yako kwa kile unachokipenda , mfano unajua kupika na unapenda...
Leo napenda kujadili mradi mkubwa wa ufugaji wa kuku wa mayai 30,000. Kama ilivyo kwa biashara nyingi za uzalishaji uzalishaji mkubwa hupunguza gharama za uzalishaji kwa bidhaa moja ( Unit cost)...
Kwanini unakosea, kufanya maamuzi ya location ya biashara wakati una mtaji.
1. Hutaki Kutofanya utafiti wa soko
Watu wengi wanafungua biashara mahali fulani kwa kutegemea mawazo kichwani bila...
Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti...
Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza...
Habari zenu Wakuu,
Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano.
Hivi sasa na miaka 28 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.