Bismillah.
Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?
Help me niga mi nko...
Habari ndugu zangu naomba wanauchumi wanisaidie vitu hivi
Nimejalibu kupitia bond investment calculator ya BOT, nimejalibu kuweka tsh mil 500,000,000 kwa muda wa miaka 25 na nikabofya calculate...
Bila kuwapotezea mud me ni Graduate wa IT na ktk kutafuta kazi sioni mafanikio ila nina wazo la kuanzisha saccos ambayo itajumuisha vijana wote wa mahali ninapo ishi tatizo cjui utaratibu wa...
Ni kweli kwa sasa kabla ya kukamilika kwa mradi wa umeme wa Stieglers Gorge Power Project au Nyerere Hydropower Plant, Tanzania kuna upungufu wa umeme unaosababisha kukatwa katwa umeme kwa mikoa...
Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne...
Hello JF members
Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi.
Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3.
Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote...
Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye...
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko...
1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro
2.Sigara maeneo ya city center
3.Vitabu mbali mbali
4.Vitu vya watoto na urembo
5.Ma cover ya simu na protector
6.Mikoba
Wakuu kwema,
Niko interested kujua bei ya mayai ya kisasa hapo Dodoma ikoje?
Huwa inapanda na kushuka?
Je, ceiling price na floor price za hayo mayai zikoje?
Wazee tunaikumbuka hii? Ilianza kama utani, c lakini sio utani kwa akili ya mwanzilishi mwenyewe wa pesa za digitali. Lengo la Satoshi Nakamoto mwanzilishi wa pesa ya digitali ya bitcoin ni kuleta...
Kaka yangu Mchechu kwanza nikupongeze kwa kuwa CEO wa Taasisi ya Serikali ukiwa Kijana mdogo (wastani) lakini Business Model yako ya kufyatua majumba kila kona ya nchi kwa wakati mmoja...
HOW DO CFD BROKERS OPERATE???
Ok, here goes. This information is what I gained from talking to the head trader at City Index.
I can split them up in discussion points
1/
CFD brokers...
Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani!
Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya:
• Chuki
• Wivu wa wateja, masoko, kuuza
•...
14th Jun '13 by fastjet Tanzania
fastjet has been granted permission to launch international flights from Tanzania to South Africa, Zambia and Rwanda marking a major step towards establishing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.