Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu, kwa namna ambayo ni chanya na hasi pia. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwaza kama chanzo cha kipato...
Wadau naomba ushauri nina mtaji wa milion kumi, ni biashara gani itafaa kwa moro mji japo kwa Mwezi nipate walau faida ya laki nane?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kama title inavyojieleza hapo juu. Unaweza anza 20 Sept - 20 Dec 2019 kwa kushare link yako kwenye mitandao ya kijamii na kupata kamisheni kwa kila anajiunga na kulipia huduma ya kusoma hadithi...
MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini?
MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli...
Habarini wapendwa poleni na majukumu.
Nimeiona hili Jambo ni changie pamoja nanyi katika harakati za kutafuta nilifika mkoani Mwanza sehemu moja wanapaita Fela ni moja ya sehemu iliyo bahatika...
Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi
Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa...
Hili ndio swali ninalojiuliza na sitashangaa wafanyabiashara wa mafuta wakapunguza au kuacha kabisa kuagiza mafuta in case wanapata hasara.
Tunaweza kufurahia haya maamuzi leo hii halafu kesho...
THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA
Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour...
Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah.
Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba...
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya...
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Wadau wa Biashara na Uchumi,
Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili...
Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi...
Nnastationery kubwa nauza bidhaa za ofisin na mashuleni,natoa copy na kuscan pia napiga paspoti na huduma za kibenki,ni huduma gani tano nyingine naweza kuwa natoa .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.