namcy alais
Member
- Apr 4, 2017
- 6
- 1
Habari wakubwa,
Naomba kuuliza vigezo vya kuwa wakala wa NMB bank.
Ahsanten
Naomba kuuliza vigezo vya kuwa wakala wa NMB bank.
Ahsanten
Je Malipo yake yanafanana na ya mpesa au Tigo Pesa? i mean MaslahiUwe na biashara ambayo imeshakaa zaid ya miaka mitatu na umelipia lesen ya hyo biashara, uwe na tin number,passport size 4 na picha ya duka au office uliyo nayo saiv,barua ya mtendaji,kitambulisho cha mtaifa,mtaji wa kuanzia million mbili ,laki mbili kwa ajili ya kulipia ile electronic machine.... Kwa maelezo zaid nenda tawi lolote la NMB ...watakupa chart yao ya malipo na faida yake inavyokua
Maslahi yako ni kufanya miamala mingi ...wana jedwali lao la makato anayokatwa mteja anapoweka na anapotoa kwa hiyo location nzur ukipata wateja wengi inalipaaa ....usikatishwee tamaa kama unania ya kwel udhubutu ndo utajiri wako.....Je Malipo yake yanafanana na ya mpesa au Tigo Pesa? i mean Maslahi
Akipata huo mchanganuo wa viwango vya NMB bank wakala vya kuweka na kutoa piaUwe na biashara ambayo imeshakaa zaid ya miaka mitatu na umelipia lesen ya hyo biashara, uwe na tin number,passport size 4 na picha ya duka au office uliyo nayo saiv,barua ya mtendaji,kitambulisho cha mtaifa,mtaji wa kuanzia million mbili ,laki mbili kwa ajili ya kulipia ile electronic machine.... Kwa maelezo zaid nenda tawi lolote la NMB ...watakupa chart yao ya malipo na faida yake inavyokua
Bila shaka ulishapata, nina tangu mwezi wa 2 sijapaga mashineMi nimelipia milioni 2 na laki mbili nina wiki sasa sijapata mashinee