Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu wa Tanzania wenzangu napenda mnipe maelezo nataka nifanye biashara ya Uber hapa DSM napenda kufahamu changamoto na hatua za kujiunga. Kwa yeyote mtaalamu na mwenye uzoefu karibu unijuze...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nilikuwa nashida ya cotton cake ....kwa mtu mwenye connection kwa namna moja ama nyingine tafadhari nisaidie ...
1 Reactions
6 Replies
999 Views
Habari wanajukwaa... Ni kampun gan bora inaweza kunitengenezea vifungashio. Vifungashio navyo hitaji ni vile ambavyo vipo katika mifuko ya bahasha.ndani inakuwa miwili miwili kama ilivyo kwenye...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wakuu wa jukwaa. Naomba kufahamu yeyote anaejua kampuni ya uhakika wanao safirisha loose cargo kutoka UK. Kuna Machine nataka ninunue zije kwa maji, kuzipandisha ndege kwa uzito wake...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Nimekutana na hii post huko mitandaoni, sijawahi kulima tikiti wala kupiga hesabu za idadi ya miche kwa ekari moja. Naomba tufahamishane kama kilichoandikwa na huyu ndugu yetu ni sahihi ama lah...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimesikitika kuona bei ya samaki wa baharini ikipanda sana mpaka kufikia shs 8500 kwa kilo moja wakati mwaka 2017 nilikuwa nanunua samaki shs 4500 wale wa wachina.tukasikia wamesimamishwa ili kazi...
1 Reactions
2 Replies
608 Views
Nini kinafanya watu (business owners) washindwe kujibu NO hasa ukiwa unaomba kazi Ni kwamba ni wanaepusha disappointments kwa waombaji? Matakwa ya kazi yanamuambia asijibu email zote? Au ku test...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Habari wakuu, awali ya yote niwape pole sana kwa shida, fedheha na usumbufu kipindi mtandao huu ukiwa haupatikani. Nikirudi kwenye mada, katika harakati za kijasiliamali, nimejaaliwa kuwa na wazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajukwaa habarini za muda huu! Niende moja kwa moja kwenye mada nimekuwa nikipokea gawio kutoka mitandao ya simu hususani Tigo na Vodacom gawio hilo ni muda mrefu sasa naona napata shilingi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Ninatarajia kufanya biashara ya nguo za mitumba ila niliplan kuwa naziuza kwenye minada mwenye kufahamu changamoto zake. Naomba anifahamishe na pia kwa Dar anayejua minada inapofanyika au...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Pokeeni salamu zangu za dhati ndugu zangu wapambanaji wenzangu na polen na majukumu ya kutwa nzima ya Leo, *Mimi ni kijana niliyetoka katika familia duni na isiyo jiweza kiuchumi Lakin Nina ndoto...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
2 Reactions
7 Replies
996 Views
Parcels zinachukua muda mrefu kumfikia mlengwa. Zamani walikuwa wanatumia ndege baadae wakaacha. Wakati huo ilikuwa inawezekana parcel kutumwa leo kutoka DSM na kesho unaipokea Mwanza. Sasa hivi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama umechoka lawama za boss, kuamka asubuhi kupambana na usafiri, kufanya kazi usiyoipenda, mshahara wa mwezi hadi mwezi usiotosha... basi huu uzi unaweza kukupa mwanga wa fursa mpya ama side...
9 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari. Kwenye haya maisha hakuna miujiza kabisa ,maisha unayoishi leo Kama hutobadilika haraka Sana ndio unayoenda kuishi huko mbele mpaka uzeeni ..! Kuna teacher alikuwa anatuhimiza Sana...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ayanda Charlie muandishi wa habari za kiuchunguzi ameandaa makala kuonesha utapeli wa makampuni ya biashara za mtandao yaliyotapakaa katika nchi za Afrika. Anasema makampuni husika hupata hela...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wana jf naplan kuanza biashara ya kuuza nguo za wadada za mitumba kwa kupoint npo Dar. Nimejarib kupitia thread mbalimbal humu nyingi znasema mitumba inapatikana ilala ukiwah alfajir...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…