BBC: Waafrika huathirika zaidi na utapeli wa Network Market

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,006
9,872
Ayanda Charlie muandishi wa habari za kiuchunguzi ameandaa makala kuonesha utapeli wa makampuni ya biashara za mtandao yaliyotapakaa katika nchi za Afrika.

Anasema makampuni husika hupata hela kwa kupata mtu mpya anayejiunga, hii ndio sababu huwaambia watu wao kwamba, kuwa milionea ni lazima uwashawishi watu wajiunge.

Wamiliki hutajirika na huwaonesha wengine watakuwa matajiri huku kiuhalisia ikiwa ni kuwaibia fedha zao na kuwaacha katika hali mbaya kiuchumi.

Utapeli huu umetapakaa zaidi Afrika, nchi kama Paraguay, New Zealand, Ufilipino, Vietnam, Mauritius, Burundi, Namibia, Gabon na Ivory Coast zimepiga marufuku aina hiyo ya utapeli.

 
Back
Top Bottom