Nataka kufanya biashara ya Uwakala wa Tigopesa, M-Pesa, Airtel, CRDB, NMB na Selcom Services

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wakuu nataka kufanya hii biashara naombeni mwongozo vitu vya umuhimu vya kuangalia kabla ya kuanza hii biashara

Na vipi kuhusu malipo yake upande wa commission kila mweziii huwa wanalipajeee

Na maeneo gani mazuli ya kufungua hii biashara
 
jaribu kuanza kufanya survey ya eneo'mostly population'..then kama mtaji upo anza biashara
 
Wakuu nataka kufanya hii biashara naombeni mwongozo vitu vya umuhimu vya kuangalia kabla ya kuanza hii biashara

Na vipi kuhusu malipo yake upande wa commission kila mweziii huwa wanalipajeee

Na maeneo gani mazuli ya kufungua hii biashara
Tozo zimeua biashara usijisumbue labda upate eneo lenye mzunguruko mkubwa wa watu kupeana pesa
 
Back
Top Bottom