Biashara ya urembo wa kiwango cha kati!

Biashara ya urembo wa kiwango cha kati!

careenjibebe

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2020
Posts
1,604
Reaction score
1,655
Nafahamu kuna biashara ya vipodozi vya gharama kubwa, ya kati na vya chini.

Naombeni kujua je nikiwa na milion moja naweza kupata chimbo la vipodozi vile vya saizi ya kati? Yaani zile sabuni za elf mbili mafuta ya elf tano yaan givo ambavyo vitajaza shelf ya kawaida ndogo? ( Nahisi ntakua nimejieleza vizur)
 
Kama uko Dar Kariakoo kule ndani utapata, au waweza kwenda Zanzibar pia
 
Back
Top Bottom