Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu wote wa jf nawapenda sana hasa kwa mambo mazur nnayopata Mmi ni mtumishi wa serikali kada ya elimu (mwl) Sababu hasa ni hizi 1.interest au hob Kiukweli hii kazi siipendi niliisomea...
25 Reactions
235 Replies
27K Views
Nauza gari yangu toyota Ist mwaka wa mbele ,Gari Ac haifanyi kazi na imewai kupigwa rangi baadhi ya sehemu interior excellent,android radio,back camera sports rim , tairi bado nzima sana gari...
1 Reactions
16 Replies
203 Views
1. Bakhresa group of companies 2.taifa group of companies 3.oilcom group of companies 4.lake energies group 5.amsons group of companies 6.metl group of companies 7.azania group of companies...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Makundi tofauti ya ukaguzi wa TRA yamekuwa kero kwa wateja. Kila baada ya muda mfupi linafika kundi jipya, kila moja likisema linatoka kitengo tofauti. Haiwezekani kazi ya mteja iwe kuhudhuria...
3 Reactions
7 Replies
192 Views
Habari! Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Mwekezaji na mmiliki wa Jamaa Bakery, John Alfred Kyenkungu, sasa ameleta huduma za mikate na vyakula mbalimbali jijini Arusha. Kenkungu aliyeanzisha biashara hiyo miaka 32 iliyopita, ameeleza...
2 Reactions
2 Replies
81 Views
wadau naompango wa kuanzisha kiwanda kidogo cha maji ya kunywa huku mikoa ya kusini,naulizka ule mtambo wa kuchemsha na kuchuja maji pamoja na kuyafunga kwenye makopo unauzwa wapi na unaweza kuwa...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Wakuu habari, Ningependa kujua ni budget ya kiasi gani inatakiwa kwenye kuanzisha kiwanda cha maji ya kopo, kama Kilimanjaro & Uhai? mkuu kiwanda kitategemea na facts mbalimbali.Kama 1...
0 Reactions
119 Replies
32K Views
Mwongozo kwa vijana na wajasiriamali wanaotaka kuanzisha biashara ya upigaji picha na kuikuza hatua kwa hatua. 1. Utangulizi: Je, biashara ya Photo Studio inalipa? Katika kipindi hiki ambacho...
0 Reactions
3 Replies
73 Views
Mwongozo wa vitendo kwa wanaotaka kuanzisha biashara ya urembo kwa mtaji mdogo, wa kati au mkubwa, kupata wateja na kukuza biashara yenye faida. 1. Utangulizi: Je, biashara ya urembo inalipa...
0 Reactions
2 Replies
89 Views
BIASHARA YA CONTENT CREATION HAPA TANZANIA: DEMAND BADO NI KUBWA Je, umewahi kufikiria kwamba simu unayotumia kila siku inaweza kuwa moja ya vifaa vya kukuingizia kipato kupitia biashara ya...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Nyie wafanya biashara wa online, mkiwa mnapost bidhaa zenu wekeni na Bei zake watu wajue mapema. Sio mtu anakuuliza sh. Ngapi unamwambia fika ofisini kwetu au Hadi uulizwe Bei. Unadhani kiatu ni...
2 Reactions
6 Replies
75 Views
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu Mimi ni kijana wa kitanzania Mzalendo ambae napenda kujishughulisha na kupata rizki ya halali Kwa Ambae anatamani kuja Kutembea Zanzibar ila anapata shida...
31 Reactions
213 Replies
11K Views
Habari, Sorry,nahitaji kuanzisha biashara ya uwakala wa fedha eg. Mpesa,halopesa n.k naomba ushauri nifanye nini ili nipate faida kubwa,changamoto zake ni zipi? Nifanye nini ili niwe salama Mimi...
1 Reactions
9 Replies
166 Views
Katika ulimwengu wa digital, kuwa na content nzuri pekee haitoshi. Namna unavyoiwasilisha ndiyo inayoweza kumfanya mtu asimame kuitazama au aendelee kuscroll. Leo, video zimekuwa nyenzo muhimu...
2 Reactions
1 Replies
63 Views
1. Kama huwezi ku afford Lawyers na accountants usisajili Kampuni, sajili business name. Kampuni unahitaji expertise ya watu, na experts wanataka kulipwa vizuri. 2. Ni lazima uwe na compliance...
0 Reactions
4 Replies
102 Views
Naomba JamiiForums ifungue mjadala kuhusu namna Mfumo wa Kitaifa wa Ununuzi wa Umma kwa Njia ya Kielektroniki (NeST) unavyotumika. Swali ni hili: Je, kila mzabuni anayekidhi masharti ya zabuni ya...
3 Reactions
4 Replies
108 Views
Guys, I have been following CT Pool for a while now and I noticed they have made some nice improvements recently. For those who don't know, CT Pool is the mining pool from CryptoTab. They have...
1 Reactions
0 Replies
49 Views
WOSTEAL MACHINERY INNOVATIONS 🇹🇿 | TUNATENGENEZA MASHINE ZA PLASTIC RECYCLING TANZANIA ♻️🏭 Habari wana-JF, Nimeanzisha thread hii kushirikisha safari ya Wosteal Machinery Innovations katika...
3 Reactions
5 Replies
147 Views
1. UTANGULIZI Uwekezaji katika soko la hisa ni mojawapo ya njia zinazoweza kumwezesha mtu kushiriki katika umiliki wa kampuni na kunufaika na maendeleo ya biashara hiyo. Hata hivyo, kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…