Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Anonymous
Hawa BRELA hata siwaelewi, unakuta mtu unaomba Leseni ya Biashara, baada ya kujaza taarifa zote muhimu na kulipia changamoto inakuja namna ya kupata Leseni ambayo ilipaswa upate ndani ya Wiki moja...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Yaani Kuna watu bwana Hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha Hii ni akili gani? Yaani hela za mashamba ya urithi...
61 Reactions
393 Replies
41K Views
Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa bila kupepesa macho nikasema kupika, kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo...
7 Reactions
5 Replies
282 Views
Biashara ya kuuza vinywaji ni moja ya biashara zinazoweza kuwa na mzunguko mzuri wa fedha, hasa ukiifanya katika eneo lenye wateja wa uhakika. Vinywaji kama Konyagi, K-Vant, mvinyo, bia, soda...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar za Leo Wana forum Nilikuwa na wazo moja la kutengeneza Bajaj za umeme, ambapo Nina fabricate mwenyew kuanzia chases, electronics, mpk programing Baada ya bajaji kukamilika mchakato wa...
8 Reactions
10 Replies
426 Views
Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
3 Reactions
9 Replies
191 Views
Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani...
6 Reactions
14 Replies
321 Views
Stori yangu inaanzia mbali, mwaka 2020 wakati ambao COVID-19 ilishika kasi, watu wanapunguzwa makazini, wengine wanapewa likizo bila malipo na wengine wanaendelea na kazi lakini mishahara inasua...
2 Reactions
8 Replies
212 Views
Wakuu habari za uzima wenu nyonte. Si Kwa ubaya Kwa wale wote hasa wafanyabiashara ya nafaka (maharage) mchongo upo morogoro wilaya ya Gairo Kijiji cha Rubeho umbali kama wa dk20 kutoka Gairo...
14 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
4 Reactions
22 Replies
545 Views
Wakuu kheri nyingi kwenu. Happy Sunday!! Nimevutiwa sana na biashara ya duka la kilimo na mifugo lakini kwakweli sijui vigezo ambavyo napaswa niwe navyo ili nifungue duka hilo na changamoto zake...
0 Reactions
5 Replies
320 Views
Hivi kuwa agent au wakala wa kufungulia watu account za bank ni lazima uwe umesomea uhasibu?
3 Reactions
7 Replies
147 Views
Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
3 Reactions
34 Replies
393 Views
Habari zenu wana JF Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu. Nawasilisha kwenu wadau
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta, Majukwaa Kwa ajili ya kujengea, Fox, Mapipa ya kuwekea maji Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi...
6 Reactions
3 Replies
211 Views
A. Wastani wa faida kwa mwezi kwenye mauzo - 800,000 B. matumizi - TRA (kwa mwaka) 300,000 leseni (kwa mwaka) 120,000 frem (laki 5 kwa mwezi) 6,000,000 Taka (elf 5 kila mwezi)...
12 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari mjasiriamali, Leo ni tarehe 19 June, Hii Ina maanisha kuwa Bado siku 10 tuu mpaka ufike deadline ya ku submit Audited financial statements kwa mwaka 2026. Deadline ni tarehe 30 June...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Habari wana jamiiforums!!, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝. Kwa yeyote anaeamini kuwa anapata au atapata pesa ya halali katika harakati zake hiyo sio kweli, zaidi zaidi utaendelea kuwa...
23 Reactions
106 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…