A
Anonymous
Guest
Hawa BRELA hata siwaelewi, unakuta mtu unaomba Leseni ya Biashara, baada ya kujaza taarifa zote muhimu na kulipia changamoto inakuja namna ya kupata Leseni ambayo ilipaswa upate ndani ya Wiki moja au chini ya wiki moja
Tangu mapema Mei nilikamilisha kila kitu ila mpaka sasa unaenda mwezi sijapata Leseni yangu.
Pia changamoto kwa Wahudumu wao wa Customer care hawapokei simu hata upige Wiki nzima mfululizo hupokelewi.