Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya...
Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani...
Mimi ni mgeni kwenye soko la hisa na nina hamu ya kujifunza kabla ya kuwekeza pesa zangu
Naomba mnisaidie kujua:
Mnaangalia vigezo gani kabla ya kununua hisa za kampuni?
Mnafanyaje kutambua kama...
Biashara ya butcher ni moja ya biashara zenye soko la kila siku kwa sababu nyama hutumiwa majumbani, hotelini, migahawani na kwenye sherehe mbalimbali. Hata hivyo, mafanikio yake yanahitaji...
Salaam
Kama unaitaji kununua kitunguu, nenda Lumuma, hata upeleke semi 10 zitajaa kwa wakati mmoja.
Lumuma ni kijiji kinachopatikana wilaya ya Kilosa kwa upande wa Morogoro na Mpwapwa upande wa...
Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi...
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga
Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua...
Hii ni list ya biashara ambazo huwezi toboa kamwe labda upate hela ya kula tu
1; kuuza karanga
2; Machinga
3; Bodaboda
4; Kubet
5; Muuza Chipsi
6; Grocery
7; Kuchoma mahindi - Hadi upate hela ya...
Discover the ultimate Tanzania Family Safari itinerary designed for older children, combining adventure, education, and unforgettable wildlife experiences across Tarangire National Park...
LOLC Tanzania Financial Services Limited is pleased to announce its successfully transition to LOLC Tanzania Microfinance Bank Limited
The transformation follows the granting of Microfinance Bank...
⏭️GHARAMA 15.5m
⏭️TOYOTA-RAUM
⏭️CC:1490
⏭️KM: imetembea km 75k
⏭️MWAKA: 2003
⏭️IMESAJILIWA: 2024
⏭️MATUMIZI: KAZINI-NYUMBANI
⏭️HALI YAKE: IMETUMIKA KAMA MPYA SIONGEI SANA UKIIWASHA TU TAYARI...
Tovuti ya BRELA ORS ina tatizo la kutotuma barua pepe za uthibitisho (verification emails) kwa watumiaji wanaojaribu kufungua akaunti mpya. Kutokana na tatizo hili, wananchi wengi wanashindwa...
Habari wakuu,
Kabla ya kununua hisa za kampuni yoyote, ni muhimu kufanya uchambuzi wa kutosha ili kuelewa kama kampuni hiyo ina uwezo wa kukua na kutoa thamani kwa wawekezaji.
Wawekezaji wengi...
“Nilikuwa na nguo nyingi nzuri kabatini, lakini nilizivaa mara moja au mbili tu. Siku moja nikajiuliza, kwa nini nisizifanye biashara?” anasimulia Miss Grace.
Hapo ndipo safari yake ya kuanzisha...
Dukani unafika umakuta mbongo lakini mzigo mkubwa na mbinu anazotumia unamshuku yupo tofauti sana na wengine, Bei anazouza kwa jumla elf 15, Reja reja elf 16, ni nani kampa jeuri hii ?
Ni wachina...
Hello business professionals,
mteja amelipia huduma kiasi cha Tsh milioni 1 ili afanyiwe kazi na akabidhiwe kazi yake Jumanne Tarehe 28/7/2026
Ghafla tu anapiga simu anaihitaji hio hela amepata...
Nimekuwa nikifanya utafiti wa kina na maandalizi ya bidhaa moja ya kibunifu (innovative product) kwenye sekta ya vinywaji hapa nchini. Bidhaa hii inaleta suluhisho la kipekee sokoni na tayari...