Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) atembelea Kiwanda cha Magodoro cha TANFOAM kilichopo Jijini Arusha kujionea shughuli za uzalishaji magodoro na kisikiliza changamoto...
1 Reactions
0 Replies
369 Views
Wakuu habari, Nimelima viazi na kufanikiwa kupata milioni 10. Nafikiria kuanzisha biashara hivyo naomba ushauri wenu, upande wa kilimo soko halitabiriki ndio maana nawaza kufanya jambo lingine...
0 Reactions
7 Replies
752 Views
Naomba kujua vigezo pamoja na mahitaji mengine.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
LIST OF LARGEST BANKS The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests By total assets Industrial and Commercial Bank of China China Construction Bank...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Dar es Salam ni jiji ambalo biashara nyingi ni za kubangaiza tu kwa mtu mwenye mtaji chini ya million 5, maana gharama ya frame, stoo ni kubwa sana. Mfano ukifungua duka la accecories za simu...
15 Reactions
87 Replies
8K Views
(1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye...
13 Reactions
47 Replies
5K Views
Bila shaka kila Mtu ameshawahi kununua kitu alafu baadae akajihisi kama anajutia kukinunua Aidha Kwa sababu hakina umuhimu au kimemuingiza gharama zisizo za msingi.Hapa mara nyingi vitu kama...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu kichwa cha habari hapo juu kimezingatiwa Kumekuwa na shida kubwa katika malipo ya parking katika jiji la Dar es salaam. Nilifuatwa na watu wa parking juzi tarehe 28 August 2023 katika...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
M-pesa till number huchukua muda gani kutoka?
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Many non-profits, particularly smaller charities and start-ups, operate without a fundraising plan. When someone has an idea for an event or a campaign, these organizations simply put together a...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Wasalaam Waungwana, Naomba kupata msaada wa jinsi ya kupata control number mpya kwaajili ya kulipia leseni ya biashara, baada ya control number ya awali kuisha muda wa matumizi kutokana na tatizo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Licha ya mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga, Tanzania kuendelea kupingwa na Watetezi wa Masuala ya Mazingira, uchimbaji wa Visima vya Mafuta Ghafi umeanza...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Tanzania Breweries Limited the largest alcohol manufacturing company in Tanzania and a subsidiary of AB InBev global, has voluntarily incorporated consumer-guidance labels across all its portfolio...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Anaandika Kenge, Nimeshaandika nyuzi kadhaa nikielezea na kuwasogezea michongo mbalimbali inayopatikana nchi jirani. Sasa naendelea kuwaletea hapa ndugu zangu wanajamvi hasa sisi vijana ambao...
9 Reactions
24 Replies
4K Views
Thamani ya Tsh kwa sasa, nani amechangia kwa kiasi kikubwa, vita vya wakubwa au sisi wenyewe?
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Leo nimeguswa niandike kidogo kuhusu vipimo Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wanapunja watu kwa maksudi kabisa wakiwemo masikini kupitia vipimo mbali mbali kwa; Kuharibu mizani au yale...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za jioni guys Now days kila mtu anataka kufanya biashara kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha kuna baadhi ya watu wameaza kusemea tangu mwaka 2009 up to day hawajafanya wengine pesa...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…