Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Inaelekea hata Benki Kuu yetu haina lengo kwenye ajira. Angalieni wenzetu, kuna upungufu mkubwa wa dollar lakini hakuna maelezo ya kueleweka mpaka leo. - Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF Naomba kwa mtu ambaye ameshapata visa ya Marekani anipatie maelezo kidogo ya jinsi alivyofanikisha kupata visa hio? Leo nmekosa visa na nimeshatumia gharama tayari zimeenda bure...
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi Sasa baada ya kuhama...
3 Reactions
97 Replies
23K Views
Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari, Naomba tuelimishane kuhusu mikopo ya bank kwa wafanyakasi na wafanya biashara. Pale umefanikisha kurudisha mkopo wao wote, wanatakiwa kukupa nini Je, utarudisha mkopo uondoke zako bila...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
4th Business and Economic Development Conference. Theme: Business and Investment Environment for Economic Development. Guest of Honour: Hon. Dr. Ashatu Kijaji (Minister for Industry and Trade)...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
NAIBU WAZIRI KIGAHE - SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA KWA KUPUNGUZA TOZO NA KODI ZINAZOKUWA KERO Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali...
2 Reactions
0 Replies
426 Views
Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Naibu Waziri Kigahe: Ni Muhimu Kuongeza Thamani Mazao ya Wakulima Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amesema ni muhimu kuwa na Viwanda vidogo, vya kati na vikubwa ili...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Wakuu habari zenu, Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari. Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Who are the richest people in Tanzania? Or who are the wealthiest people in the republic of Tanzania? Are some of the many questions asked by the people of Tanzania who want to know the kind of...
0 Reactions
111 Replies
75K Views
Jamani natafuta saccos yenye kuaminika nijiunge. Inayotoa mkopo kwa wanachama wake kw riba nafuu. Mimi ni muajiriwa sekta binafsi. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba msaada kuhusiana na biashara ya dagaa. Nataka nianze kufanya nanunulia mwanza nauza huku Dar lakini sijapata soko. Nalipataje soko, wazoefu naomba mnisaidie kwa hili.?
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, NATAFUTA NAMBA ZA AGENTS WAFUATAO: 1.SABUNI ZA MCHE 2.SABUNI ZA UNGA 3.SABUNI ZA KUOGEA 4.DAWA ZA MENO 5.MISWAKI 6.DAWA ZA MBU 7.TISSUE 8.SIAGI ZA AINA ZOTE 9.MAFUTA YA KULA 10.TAMBI...
0 Reactions
2 Replies
605 Views
Habari Mimi si muandishi sana humu lakini ni msomaji mmbobezi, muajiliwa toka 2008. Katika maisha yangu sijawai kufanya Biashara yoyote au shughuli yoyote ya kuniingizia kipato zaidi ya Mikopo...
2 Reactions
19 Replies
33K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji(Mb.) ameushauri uongozi wa Mkoa wa Tanga kushirikiana na Taasisi husika kutatua changamoto za wanazopata wafanyabiashara wa Jiji la Tanga. Dkt...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
Habarini wanajamvi. Nimekua nikisumbuliwa na wadudu wanaofukua udongo na kutengeneza mashimo kiasi ambacho jiran yangu ukuta wa nyumba yake umebomoka kwa kutitia, maana wale wadudu wanafukua chini...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati. Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini watanzania wezangu? Poleni na majukumu. Naomba msaada wenu, nataka nifungue studio hivyo wazoefu mnipe mchanganuo wa vifaa pamoja Bei zake. Mtaji ni not less than 4m.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…