Ni biashara gani nikifanya naweza kupata faida 10k kwa siku?

Kwaiyo
K= 10,000

Pale ulisema 10K
Unamaanisha 10 ×10,000 = 100,000 Faida..

Kupata faida Ya Laki kwa Siku kwa Mtaji Wa chini mpwa Sahau...!

Mitaji ya Chini huwa tunatafuta 'mkono uende Kinywani na njia ya Maliwato isiote Majani tu'.....

Mengine ni kujitafutia Sonona na Msongo mawazo..!
Hujanielewa bro
Mm nilikuwa namaanisha 10k per day yaan faida ya elfu kumi kwa siku na si laki moja

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo
K= 10,000

Pale ulisema 10K
Unamaanisha 10 ×10,000 = 100,000 Faida..

Kupata faida Ya Laki kwa Siku kwa Mtaji Wa chini mpwa Sahau...!

Mitaji ya Chini huwa tunatafuta 'mkono uende Kinywani na njia ya Maliwato isiote Majani tu'.....

Mengine ni kujitafutia Sonona na Msongo mawazo..!
K= 1000
 
Leta mteja anayeweza kununua mifuko ya simenti 100, upate 50,000 (udalali/ hakuna haja ya mtaji); kama utawapata kila siku, utakuwa unaingiza pato la kutosha.
 
Back
Top Bottom