Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari yenu wakuu, Naomba kufahamu chimbo la remote za jumla za Tv kwa Kariakoo
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Global Islamic Finance Awards (GIFA), Profesa Humayon Dar (kushoto) akikabidhi tuzo ya huduma bora za zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu ‘the Best Upcoming Islamic Banking...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Kumetokea sitofahamu hivi karibuni kati ya wakusanya madeni na waendesha minada ya CRDB BANK kitengo cha kukukusanya madeni baada ya CRDB benki kutoa kazi kwa madalali hao kisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA AUTAKA MGODI WA TEMBO NICKEL KUANDAA MPANGO WA ENEO LAO ▪️Asema Rais Samia anatamani kuona utekelezaji wa mradi huo uendelee kwa kasi ili kutimiza lengo la kuanzishwa*...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Utafiti uliofanywa kwa bidhaa zisizo za vilevi pamoja na maji umeyapa maji ya Kilimanjaro tuzo ya Superbrand Afrika mashariki kutokana na ubora wake. Maji ya Kilimanjaro huzalishwa na kampuni ya...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamaa kaenda duka au kibanda x kununua bidhaa kadhaa, kesho yake mke wake kaenda kibanda au duka hilo hilo kununua bidhaa kama alizonunua mume wake jana Kwa nini muuza duka umwambie mke wa jamaa...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mfumo wa franchise ni mfumo wa biashara ambapo mmiliki wa biashara au kampuni (inayojulikana kama "franchisor") hutoa leseni kwa mtu au kampuni nyingine (inayojulikana kama "franchisee") kuruhusu...
8 Reactions
6 Replies
993 Views
Habarini... Kuna rafiki yangu anafanya kazi ya ofisini ila muda wake wa kuingia ni saa nne asubuhi... nimemshauri kuwa kabla ya kuingia ofisini anaweza akafanya kitu cha kumuingizia hela... sasa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba...
1 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari, Poleni na majukumu Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125 hivi ni mchongo gani wa pesa naweza kuufanya kupitia pikipiki hii ukiachana na Bodaboda Wataalam nipeni michongo mdogo wenu
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nina idea ya biashara ila nina changamoto ya mtaji, hivyo nimeshawishika kuingia bank kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba yangu.. swali ni, je? Bank gani itakuwa option bora...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Kwa namna gani vijana wanaweza kutumia uwezo wao ipasavyo ili kutimiza ndoto/njozi/malengo yao bila kurudishwa nyuma na mazingira au changamoto katika jamii wanayoishi? Swali hili limekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Assalam alaykum, Habari zenu wapendwa Mimi ni mhitimu wa chuo, ni muaminifu sana kuliko UMUGHAKA uaminifu wake kwa Ally Mpemba. Nilibahatika kupata ukarani katika Sensa ya mwaka 2022 namshukuru...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kilimo kina msimu, hilo tunalielewa, msimu wa masika, vuli, kipupwe na hata kiangazi. Pesa hazina msimu. Ukifanya kazi kwa bidii na ukizitafuta, mwaka mzima unaweza ukawa kwenye masika ya hela...
29 Reactions
94 Replies
7K Views
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya NSSF na allowances zake! Natanguliza shukrani!
0 Reactions
36 Replies
15K Views
Wapendwa samahanini kwa usumbufu, mimi ni kijana wa miaka23 nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya, nipo mkoa wa Pwani Kibaha Loliondo.
2 Reactions
8 Replies
2K Views
A lapsed donor is a donor who used to contribute to an organization but who has not donated within a specified amount of time. Usually, that time period is twelve months. However, some...
2 Reactions
0 Replies
614 Views
Wasalaam wadau, Naomba kufahamishwa chimbo la vitu nilivyoelekezwa hapo juu na mtaji wa kuanzia ikiwezekana. Nahitaji kufungua duka huku DODOMA Ili angalau kamkono kaende kinywan maana changamoto...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Habari wadau Kama wiki hizi tatu nilkuwa nafatilia biashara ambazo ni profitable business outside of our country, nimegundua biashara ya mkaa ni biashara ambayo inweza kuleta billions of money...
2 Reactions
3 Replies
832 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…