Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Yawe Makubwa Angalau kama yale ma tranka ya shule makubwa. Yawe imara/magumu. Yawe mazima sio yaliyochakaa.. Nayaonaga mara nyingi kwenye kazi za kiserikali n.k Nishawahi kuyaona sehemu kipindi...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Dhumuni langu kubwa la kuporomosha uzi huu ni kuomba au kuwataka wale magwiji au wazoefu wa mambo ya migodini (kununua na kuuza pia na kusimamia karasha ili kuzalisha pesa kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapenzi wangu, Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa. Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
5 Reactions
15 Replies
717 Views
Habari zenu Leo ni siku nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuliona jua hadi sasa lakini pia kwa neema ya kuona mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ndugu zangu waislamu lakini kwa wakristo nadhani bado...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Naombeni idea ya biashara ambayo ninaweza kufanya ndani ya mji wa dodoma kwa mtaji wa million 2, kodi na mahitaji mengine ipo budget ya 1m pembeni Natanguliza shukrani
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia. Kati ya...
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara. Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa? Please help
0 Reactions
5 Replies
644 Views
Nauza kontena la kuhifadhi ubaridi kwa ajili ya matumizi mbalimbali kama samaki,nyama au ndizi..lina urefu wa futi 40 gharama ni milioni 30 Napatikana kwa namba 0656652250
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Wakuu wa Nchi, Natafuta hao aina ya samaki konokono wanaitwa oysters, kwa watu walioko Tanga na Dsm, please naombeni msaada wenu kama unajua mahali wanauza hii aina ya samaki please...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo. Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania Yazindua Kiwanda Kikubwa cha Vioo Afrika Mashariki na Kati Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) amesema uzinduzi wa kiwanda kikubwa cha vioo Afrika Mashariki na Kati...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu kwa majina naitwa joh au johanes ni muongoza watalii ndani ya hifadhi ya Serengeti ningependa kuwakaribisha wote kuja kutembelee vivutio vilivyoko ndani ya hifadhi zetu za...
0 Reactions
3 Replies
616 Views
Karbuni Sana Serengeti
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Hi guys habari, naomba mwenye kujua lolote juu ya biashara ya vyombo vya plastic ivi vinavyouzwa mitaani Kwa Bei ndogo kabisa ,Kuna mtu anahitaji kufanya lakini hajui A B C D zake, yupo dar ...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
We are a local tour & safari company in Tanzania well educated in Fauna,Flora and culture preservation.The company has the aim of providing the best experience a client can possibly imagine.We...
1 Reactions
0 Replies
333 Views
Habari wakuu. Kumekuwa na apps nying mtandaon za mikopo ambazo nyingi ni za uongo.. Naomben kujua ni app gan inayotoa mkopo bila ubabaishaj
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hii ni maalumu kwa hustlers yaani vijana wapambanajj wenye ndoto zao za kufika mbali kimaisha, Kuna vitu lazima ukate minyororo ili upate utulivu wa akili katika kufanya Mipango yako.... Miaka...
33 Reactions
60 Replies
4K Views
Night club(madisko ya usiku ya ndani) ilikuwa biashara nzuri na iliyovuma kwa muda mrefu miaka ya 90's hata miaka ya 2000, hata huko vijijini au wilayani kumbi za nyasi, mabwalo au kumbi za harusi...
13 Reactions
90 Replies
27K Views
Kifo ni sehemu ya kila mwanadamu, ni sherehe ya mwisho. Kutokana na ongezeko la watu kuga dunia, wanafamilia hujichanga na kupendelea sherehe ya mwisho ya mpendwa wao itafana kiasi gani. Watu wa...
1 Reactions
6 Replies
796 Views
Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Back
Top Bottom