Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu, naomba kujulishwa ni mfumo gani wa mauzo ambao ni mzuri kutumia kwa dukani? Gharama iwe rafiki, mwepesi kutumia, huduma ya wateja inapatikana pindi kunapotokea tatizo, je mfumo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari Wana JF, I hope mko powa . Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani Dar es salaam, level yang ni certificate Kwa kipindi kichache ambacho nimesoma nikafikiria nisikae bure kwani kuna maisha...
1 Reactions
8 Replies
916 Views
Wakuu habari za uzima? Leo nilikuwa naomba nijifunze kitu hapa. Nafikiri wengi tunasikiaga marekani anawekea nchi fulani vikwazo vya kiuchumi, kutokana kwamba yeye ni super power duniani...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mzigo wa cash upo mkononi. Gari iwe mikoa ya Mwanza au Geita.
2 Reactions
4 Replies
803 Views
Habari zenu Wakuu, Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu kuiga biashara maeneo ambayo hayana mzunguko na kujikuta wakifunga biashara zao kwa hasara na majuto. Ndugu MwanaJF leo ningependa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Heri ya krismasi wakuu. Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au...
3 Reactions
16 Replies
966 Views
Pamoja na kwamba leo ni sikukuu, Benki ya NMB ambayo ni Mshindi wa Tuzo nyingi zikiwemo za ufanisi wa kazi na huduma bora, kwa mara nyingine tena imeonesha kuwajali Wateja wake kwa kutangaza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, samahani naomba kuuliza kwa Dar es salaam ni vyama gani vya Ushirika ambavyo vipo vizuri katika kuinuana kiuchumi? Natanguliza shukrani
1 Reactions
1 Replies
425 Views
Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau. Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90. Naombeni mnishauri kwenye...
26 Reactions
312 Replies
30K Views
Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
5 Reactions
8 Replies
831 Views
Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu habar zenu Naitwa Norbet Daudi Mzaliwa wa kigoma Kwa sasa naishi mwanza Wilaya ya ilemela kata ya kitangili Nina tafuta bajaji ya abilia ya kukodi au ya mkataba yeyote mmiliki wa bajaji au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu salaam Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha biashara ya kununua FUSO zima la viazi vya chips / viazi ulaya/ viazi mviringo, Njombe na kuja kuuza Dodoma Naomba Kwa mtu mwenye uzoefu au...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya wana JamiiForums wote. Bika shaka mpo salama na mnaendelea vyema na heka heka za kusherehekea hizi sikukuu, kwa wale wenye changamoto za hapa na pale...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu Samahani sana Mimi nina mtaji mdogo wa 5m Ila nahitaji ni fungue hardware itakayo kuwa na vifaa vidogo vidogo vitakavyo endana na bajeti yangu Naomba kama kuna mtu yoyote mwenye...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu kheri ya sikukuu ya kuzaliwa KWA Yesu? Assalam aleyko? Nilikuwa naomba kuuliza kama upo na asset unaweza kwenda kuomba mkopo KWA ajili ya biashara au ni lazima iwepo biashara ambayo ipo...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…