Naombeni Muongozo

Missandei

Member
Apr 21, 2023
58
87
Heri ya krismasi wakuu.

Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote

Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
 
Hiyo laki mbili yako iweke nakuja town mwezi wa kwanza ntakupeleka chimbo unywe beer alaf utapata madili hapo hapo
 
Heri ya krismasi wakuu.

Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote

Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
Pita jukwaa la Biashara na Uchumi upate maarifa
 
Heri ya krismasi wakuu.

Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote

Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
Biashara ya mtaji mdogo inakuhitaji kuachana kabisa na starehe na matumizi mabaya kitu kingine cha msingi tafuta sana elimu ya hicho kitu unachokifanya hasa kwa waliofanikiwa huko utakokuwa unajumua jaribu kuuliza abc changamoto za biashara na jinsi yakuweza kugrow up
 
Chupi uza maeneo yaliyochangamka na wapitaji wanawake.
Stendi sokoni nk.
Unaweza kupitisha/kutembeza kwenye mitaa yenye biashara ndogo ndogo za wamama pia masaluni ya kike

Peleka minadani huko
 
Kwanza nimpongeze wa kutunza mpaka kufikisha 200k, sijajua kazipataje labda aliajiriwa au ni Kwa hz harakati zetu za Leo tiki kesho mkasi lakn binafsi ningemshauri akuze kwanza huo mtaji at least ufike 500k ++ Ndo aangalie next move!
yani mkuu umemaanisha huu mtaji bado haujatosha hiyo biashara
 
Heri ya krismasi wakuu.

Ni hivii nimepata mtaji tsh laki 2 Nina mpango wa kuanza biashara ya chupi nipo dar sasa bado sijajua naziuzaje na wapi yani inshort sijawahi kufanya hiyo biashara au biashara yoyote

Mwenye uzoefu naombeni mawazo yenu naanzaje kwa mtaji huo
Mtaji wa laki 2 unatosha kabisa kuanzisha biashara ya chupi, But biashara ya chupi integemea na location, unawez ukauza maeneo ya chuo, coz ndosehem pekee kwa mtazamo Wang unaweza ukauza and also biashara ya chupi ili uwe unauza itabid ununue kitu quality na uangalie watu wanapenda aina gan ya chupi either cotton or less na unapanga Bei vzur Kama unanunua kwa dozen cotton chupi jumla 18000 mpak 20000 rejareja 23000 mpak 25000 so ni wew tu kujipangia utauzaj kwa jumla na rejareja kuwauzia wateja wako kulingan na Bei uliyonunulia
 
Back
Top Bottom