Habari za wakti huu;
Miaka ya 90 wakati TEHAMA imepamba moto Duniani kwa tuliokuwepo kufahamu namna ya kutumia Computer ilikuwa ni TREND na ni Muhimu.Katika Kipindi waliibuka watu waliotajirika na...
Habari za majukumu,
nimefungua salon mpya ya kisasa ya kike ambayo nalenga kutoa huduma zote za urembo wa kike kama vile,
kusuka
make-up
facial
Kupaka rangi
kuosha miguu
na nyinginezo nyingii...
Habari...
Nipo mkoa wa Tabora nataka kufanya biashara ya kuku na kupeleka Dar es salaam au Dodoma je wapi ni sahihi?
Faida za Dodoma
Bei inaweza kuwa juu kutokana na nature ya watu wanaoishi...
Moja kati ya huduma ya kipekee ambayo nimekuwa nikitumia ni huduma ya BOLT Business
Kwa wajasiriaali wengi ambao biashara zao huwahitaji kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine uhitaji wa...
Wakuu ushauri wenu tafadhali nataka kununua gari aina ya ALPHAD kwa ajili ya biashara yakuwakodishia watu wenye safar zakifamilia kama kwenda kwenye harusi,misiba,shughuli binafsi,
Wazoefu hii...
Habari wana jukwaa wenzangu karibuni na msome makala yangu
Tuangalie biashara 5 za mtaji mdogo usiozidi Tshs. 100,000 unazoweza kufanya na zenye faida kubwa. Mtaji mkubwa unaohitajika...
CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI:
GEMSTONES VS DHAHABU
Unapoingia kwenye biashara ya kununua madini tambua kuwa hii ni biashara kama biashara zingine, madini ni bidhaa kama...
Biashara ya Microfinance ni eneo lenye fursa kubwa Tanzania kwa sababu linasaidia wafanyabiashara wadogo, wajasiriamali na watu wenye kipato cha chini kupata huduma za kifedha. Lakini mafanikio...
Habari za jioni ndugu wadau.
Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama
Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k)...
Huenda tatizo siyo bidhaa zako—bali kuna mambo muhimu unayoyapuuzia katika uendeshaji wa biashara yako.
Biashara ya spare parts ni biashara yenye fursa kubwa, kwa sababu pikipiki na magari...
Ewe mhitimu wa kodi hii ni nafasi njema kwako'
(i). Unapenda kupata uzoefu ili uanze kutengeneza pesa kwa kutatua matatizo ya wafanya biashara na makampuni mbalimbali.
(ii). Unahitaji kupata...
Mnaomiliki hivi vyombo vya moto au madereva au kama una experience Naomba ushauri
Kati ya guta na bajaji ipi
-Inarudisha hela mapema
-Inauhakika wa hela kwa boss
-Ikitokea dharula inauzika...
Kuna uzi flan ulianzishwa na mdau flan akiponda biashara ya kumkabidhi mtu bajaji ya abiria akuletee 20000/day kwamba ni biaashara kichaa na ya kijinga sababu kubwa ikiambatanishwa na bei ya bajaj...
TAARIFA
Anatafutwa mwekezaji kwenye Eneo la kuchimba madini
Eneo lipo Mkoa wa Geita..Bukombe..Kigosi game reserve.
Ukubwa wa eneo...Heka 12
Aina ya Madini...Dhahabu.
Umiliki wake Leseni...
Naomba kujua nitapata wapi duka la balo za nguo za mtumba Bei ya jumla, mfano
Kadeti
Shuka
Pullover
Jacket
Sweta
Jeans
Jeje
Gauni za kike
Nguo za watoto
Viatu
Habari Wakuu ningefurahi Kama nitapata mchanganuo was biashara hizi mbili.
👉Kuanzia Gharama za uanzishaji, utekelezaji wa viwanda hivi.
Najua vyote ni Bora, ila utofauti lazima uwepo?l!!.
👉Kwa...
Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali.
Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania.
Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu...