Habari wakuu!
Nina rafiki yangu mmoja mtu wa kusafiri hapa na pale kusakanya maisha. Hivi sasa yupo India.
Huyu jamaa yangu amepata link ya mtu ambae anaweza kum-supply silver kutoka huko...
Rwanda moves to keep out tainted fuel
By Beatrice Philemon
16th June 2010
TATOA gives hints on how and where adulteration is done
The chairman of Tanzania Truck Owners Association...
Habari
Wadau naomba mnijuze benki gani hapa bongo naweza kupata mkopo kwa dhamana ya gari
au asset za nyumbani, Nimekutana na hawa Access bank ya Kariakoo, hawana masharti magumu na wanakopesha...
It is possible if you believe and dare to try. I found this story so inspirational that I thought it wealthwhile sharing it, it may kick start one's life. Enjoy it.
Airlines to charge for in-flight entertainment
By Oliver Smith
Thomas Cook Airlines is to remove existing in-flight entertainment systems from the majority of its aircraft, in favour of charging...
Jamani, wakenya wanatupiga vita kwenye internet wapendavo, lakini sisi hata hatujibu mashambulizi kutetea nchi yetu..naomba tushirikiane popote pale tutakapoona wanatushambulia kwenye net popote...
Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe
Tanzanians in Diaspora are proposing a suitable mechanism of taxing Tanzanian investors and businesspeople living...
Mmhh
kama nakuona mwakabela unavyohangaika,,na ile hati ya karume
pole sana najua amkusoma nyakati kujinufaisha anyway
hivi tumezoe kusikia just a week mapato ya viingilio lakini sijui
kunani...
Nime copy ilivyo toka Ippmedia: THE GUARDIAN.
Tanzanians in Diaspora are proposing a suitable mechanism of taxing Tanzanian investors and businesspeople living abroad in a spirited drive to boost...
Uwekezaji unatuletea pesa za kigeni?
Ninawasiwasi na hili na kama ni kweli basi ni la muda mfupi tu. "Privatization" wakati wa serikali ya awamu ya tatu ulikuwa mkubwa mno. fedha za kigeni...
Ndugu wanajamii hapa jamvini, serikali imepunguza kodi kwenye mishahara kutoka 15% kwenda 14% ( very insiginificant change) ila nina wasiwasi na matokeo yake kwa ujumla.
Hivi ndivyo ninavyoona...
Wadau,
Nawarushia hiyo nondo inaweza kubadilisha maisha ya mtu, na hicho kikifanyika nitamshukuru Mungu kwa kuitawanya hiki kitabu ambacho nilikipata bure... kizuri kula na wenzako bwan
Wana jamii, niombe radhi kama kuna kati yenu hapa amekishwa post baada ya kuona hii article toka kwa majirani zetu wakenya wanaodai kwamba barabara ya Arusha- Musoma ikijengwa itazuia great...
By Wilfred Mwakalosi
June 12 (Bloomberg) -- Lee Building Materials Ltd., a Chinese company, plans to start construction of a $12.5 million cement factory in Tanzania in September, said the...
Finance and Economic Affairs minister Mustafa Mkulo has said that inflation will drop to 8 per cent by the end of this month and is expected to go further down to 5 per cent by June next year...
Kuna mtu yeyote mwenye kuweza kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu kilimo cha miti ya Agrocarpus? Au kama anauza huo ushauri pia nambie maana utaalamu ni pesa. Maelezo machache kuhusu huo mti yapo...
Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkulo akiwasili katika viwanja vya Bunge tayari kwa kusoma bajeti ya 2010/11
Andrew Msechu
SERIKALI jana ilitangaza bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2010/11...