Dawasco & Dawasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawasco & Dawasa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MAMA POROJO, Jun 19, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Dawasco ni shirika linalosambaza maji katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani. Dawasco hawana miundo mbinu ya kusambaza maji, wao mekodisha mitambo na miundo mbinu ya kusambaza maji toka kwa Dawasa na wanapelekewa ankra ya madai kila mwezi na Dawasa.

  Ni kwanini serikali iliamua mambo yaende hivyo, je ni kwa sababu wananchi hawajui kulalamika na hawajui haki yao?

  Ankra ya Dawasa kwa nini isitumike kuendeleza vyanzo vya upatikanaji wa maji?

  [​IMG]
   
Loading...