ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mdau, Jun 18, 2010.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,719
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  ZANTEL: Tunaomba Maelezo katika Hili
  Mimi ni mteja mzuri sana wa ZANTEL,hasa katika huduma za internet.....nina malalamiko mawili na hawa jamaa....kwanza: Ukiweka PLAN DAY ya siku moja (TShs 6000), kabla haujatumia MB 200 zikafika, inakata...

  Pili, hivi RUVUMA mwakilishi wa hii KAMPUNI NI NANI? Sehemu iliyokuwapo ofisi yao karibu na CCM mkoa,kuna kontena limefungwa,tetesi ni kwamba muhusika alikula hela akatoroka,kuna mlinzi tu,eti ndio anasajili simu pia,ukifika unapewa karatasi ukatoe copy wewe mwenyewe,then ndo uandikishwe,ukiondoka hupewi hata udhibitisho kwamba umeandikishwa!!!

  CUSTOMER CARE IKO WAPI HAPA JAMANIIII!!! Tafadhalini tunaomba watueleze haya mambo yanaenda vp,huduma zao za DATA tunazikubali,lakini haya mengine ni utata!!!!! ​
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Uzo mtupu
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Tshs 10,000 = 200 MB so Tshs 6,000 itakuwa 100-150 MB ni sawa inavyoisha.
   
Loading...