Malawi miner to export 10,000t of coal to Tanzania

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
By Nyasa Times
Published: June 18, 2010


Malawi's Eland Coal Mining has signed a contract to export coal to multinational cement producer Lafarge's plant in Tanzania.

CEO Graham Smith says the deal will see the company, which mines the energy mineral at Mabulambo, in northern Malawi, initially exporting 10 000 t before the end of the year.

"Lafarge has committed a 10 000-t coal export order, with the possibility of a further 10 000 t," says Smith.

Eland last year commissioned a washing plant, which produces 30 t of clean coal an hour – enough to meet local and regional demand.

Meanwhile, Eland Coal is undertaking exploration in its Mabulambo licence area to increase the resource. "Eland's goal is to become a dominant supplier of coal in Malawi and East and Southern African countries. We are now focusing on identifying a coal resource suit- able for a 300-MW power station," says Smith.

Eland Coal Mining is a subsidiary of Allied Procurement Agency (APA), a consortium of investors also prospecting for heavy mineral sands at Chipoka, in the southern lakeshore area.
 
Aise, Kiwira yetu vipi?

Yaani pamoja na utajiri wa coal tulionao bado tunatoa tufedha twa kigeni tulitonato kununua coal, shame on us. Uchumi hauwezi kuimarika kwa mtindo huu.
 
Aise, Kiwira yetu vipi?

Yaani pamoja na utajiri wa coal tulionao bado tunatoa tufedha twa kigeni tulitonato kununua coal, shame on us. Uchumi hauwezi kuimarika kwa mtindo huu.
Mkuu,

Binafsi nilipoiona hii nikalegea. Kiwira ndiyo ishatelekezwa hivyo? Wenzetu washapata 'deal'
 
Mkuu,

Binafsi nilipoiona hii nikalegea. Kiwira ndiyo ishatelekezwa hivyo? Wenzetu washapata 'deal'

Inasikitisha mno, tulipaswa kutoa fedha za kigeni kwa masuala/vitu ambavyo hatuna na ni vya muhimu. Sijui tunamatatizo gani? hata sielewi! Kenya pamoja na matatizo waliyonayo wapo very kin kwenye natural resources, laiti wangekuwa na madini, coal na gas kama sisi wangekuwa mbali sana.

Hapa ndiyo naona kwamba pamoja na matatizo ya uongozi pia tunamatatizo ya watalaam/washauri/watendaji.
 
Tunavuna tuliyopanda...kama tumepanda bangi, tunategemea kuvuna nini? Kinachosikitisha ni kuona kwamba ni kama viongozi wanaotakiwa kutupa mwelekeo, wamerelax na kuridhika.Mmmh, we acha tu
 
kwani KIWIRA uwezo wake ni tani ngapi hadi waagize nje??hii habari ni ya malawi media wanazungumzia kiwanda chao,je kiwira hawajapewa tender?pls some1 tell me,labda wamepewa hawatoshelezi ndio jamaa wanajazia....
 
kwani KIWIRA uwezo wake ni tani ngapi hadi waagize nje??hii habari ni ya malawi media wanazungumzia kiwanda chao,je kiwira hawajapewa tender?pls some1 tell me,labda wamepewa hawatoshelezi ndio jamaa wanajazia....
Sidhani kama kuna production inaendelea Kiwira mkuu...
 
And that is not the full story...there is a company by the name Britannia Mining which intends to develop coal and iron ore mines in Malawi. Haya mambo yanatokea in less than 10 years. Sisi tunajua Mchuchuma na Liganga for ages and we do nothing.NDC naona kama hili suala la kupata right partners limewazidi kimo.Ilani ya CCM ilisema ingekitegua hiki kitendawili in these 5 years. Sijui imekuawaje.
 
Back
Top Bottom