Naomba Msaada Soko la Madini ya SILVER | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Msaada Soko la Madini ya SILVER

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ramthods, Jun 18, 2010.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Habari wakuu!

  Nina rafiki yangu mmoja mtu wa kusafiri hapa na pale kusakanya maisha. Hivi sasa yupo India.

  Huyu jamaa yangu amepata link ya mtu ambae anaweza kum-supply silver kutoka huko India, Italy na Iran. Yeye bado yupo India, ingawa anampango wa kurudi bongo hivi karibuni.

  Ameniomba sana nimsaidie kuangalia soko la silver hapa nyumbani, ikiwa ni pamoja na bei na urahisi wa kuuza. In short, kama ni biashara mzuri au lah!

  Mimi ni mgeni kwenye biashara hii, ingawa nimejaribu kwa kiasi changu kuzunguka huku na kule kucheki soko.

  Naomba kama kuna mtu ana ufahamu mzuri anifahamishe zaidi, na kama inawezekana tunaweza kufanya hii kazi pamoja - ikiwa kama tutafanikiwa katika kuingiza hizo silver.

  Natanguliza shukrani.
   
Loading...