Nina kiasi cha pesa na nimekua njia panda nini nifanye cha kwanza ninunue kiwanja au nifanye biashara nikipata faida ndio nianze mipango ya kununua kiwanja maana kibaruani nimeachishwa.
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri...
watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda.
mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu...
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.
Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh...
Tunajihusisha na uuzaji wa mafuta ya alizeti kutoka Singida kwa bei za jumla na rejareja kwa lita 1,3,4,5 na 20.. karibuni sana kwa huduma tuwasiliane +255623140090.
"As-salamu alaykum," kwa ndugu zangu Waislamu.
“Bwana Yesu Kristo Asifiwe,” kwa ndugu zangu Wakristo
Bila kupoteza muda, nimekuja kwenu hili kuwajuza juu ya wimbi la biashara za online ambazo...
Habari wana JF it's another beautiful day.
Thread hii inahusu kariakoo, Kuna watu wanahitaji/tamani kufanya biashara Kariakoo lakini wanahofia bei za fremu lakini pia hawajui wanaanzia wapi...
Habarini wadau .Kama mnavyo fahamu katika harakati za maisha kuna watu wana idea za biashara na kuna watu wana pesa.Hivyo napenda kualika wote wenye mawazo ya kibiashara chini ya million tano njoo...
Poleni sana majukumu ya hapa na pale wanajamii mimi nataka kununua ps 4 katika pita pita Zangu nimekutana na Hawa gamestore wapo mlimani city sasa mimi nipo Iringa nauli ya kufikia mpaka dar na...
Habari za jioni, natumaini mko salama.
Kama kichwa kinavyojieleza. Ninataka kuanza kazi kama consultant wa miradi na tafiti (ni professional yangu), kwa muda sasa nimekua napata wateja wengi na...
We don’t just rent out beautiful cars, but we also offer powerful off-road vehicles. Welcome to Rhond's Company Limited for excellent car rental services. Call us or send a WhatsApp message to...
Wale tunaodanga na bidhaa za wachina ili tupumue mjini na wale ambao mnataka kufanya biashara naomba tushauriane hapa ili kuepuka kulizwa na wachina jueni hakuna hela rahisi mjini
Maoni yangu...
Habari wakuu, nataka kusafirisha vitu vyangu vya geto kutoka Dar riverside kwenda Arusha ( mount meru). Kwa ambaye anaweza kupata nafas kwenye gar yake naomba tuwasiliane. Asanten
Hello JF,
Nilijua ni mimi tu naibiwa kwenye simu yangu ya mkononi, Kumbe tupo wengi sana,
Langu ni Hili;
Mimi ni msafiri wa hizi nchi za afrika mashariki na mara nyingi sana hupenda...
Kwa serious advisers, mimi ninaisha DSM Mbagala, nna 1.5M, naomba nipate wazo la biashara na hiyo pesa ni kwamba biashara ni kuanza mwanzo kabisa.
Pia soma Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza...
Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa.
Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa...
Habarini wakuu! Toka majuzi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi hili suala la wajasiriamali kuwa wengi nyakati hizi tofauti na miaka ya zamani let say 90's.
Kipindi cha miaka ya 90's wajasiriamali...
Tushirikiane tuweke orodha ndefu ya aina za viwanda vidogo ambavyo mtu anaweza kuanzisha katika jamii yake, mkoa wake au nchini kwa ujumla. Tuwe serious;
1. Toothpick industry
2. Take away plates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.